Haya ngoja tusubiri wasije wakarudia kujenga "banda la kuku" kama lililopo sasa! Wajifunze kwa ndugu zao hata wa kichina pale PEK beijng , Amsterdam nk.
Sema button ya LIKE haipo, ningekupa tano mwanangu. Ile ya Mchina ilikuwa n kiboko. Nadhani mafisadi walipita na hela za mradi wakatubakizia bora mradi.