Ujenzi wa Terminal III ya J.K Nyerere International Airport waanza

Safi sana BAM international wazee wa Heineken nasubiria hii terminal ikamilike.
 
Haijawahi tokea tukaitwa au tutaitwa tukaandamana...,, kwanza uandamane wapi? sisi tukiitwa hivyo la kwetu huwa tunajibu wao ni Nguruwe
Wewe hujui kuwa mtu mweusi ni nyani? Low iq?
 
Inaweza kuwa ni ukweli ama uogo.
Majengo yafuatayo yamejengwa na wazawa/ Watanzania
1. New Africa Hotel
2. Soko la Kariakoo
3. Jengo la Kitega uchumi
4. Kilimanjaro Hotel
5 . NIC house pale samora
6. Nadhani kuna project nyingi na kubwa sana hapa nchini zimejengwa na wazawa, haya majengo mapya mnayoyaona kujengwa na wachina - ni ulimbukeni tu wa watawala wetu kupendi mambo ya kigeni.
 
Wewe ni zaidi ya janga, hata kama ni hizo buku7 lakini muwe mnaangalia na pa kuleta masikhara.
Jamaa anasikitika tuna ndege 1 wewe unamuuliza alitakaje? [emoji26]
Wewe Nifah, kwa hio tukiwa na ndege moja tu, hatustahili kujenga viwanja vya ndege mpaka tuwe na ndege nyingi?
 
BAM ni moja ya contractors wazuri sana ..wataifanya hii terminal kuwa kali sana ..kitu ninachofurahia itakuwa na maegesho na special airbridges za AIRBUS A380
 
jamani ni muda mrefu sasa tangu uanze ujenzi wa hii Terminal III, hivi tatizo la kutokamilika kwa hii terminal mpaka sasa ni nini hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…