Wapewe tu rwanda bongo hakuna kituKuna uwezokano nchi ikanyang'anywa uenyeji wa michuano hiyo na nchi nyingine hasa Rwanda ikapewa. Nchi ilikuwa imepandwa mzuka/mihemko kutaka kupewa kuandaa michuano hiyo na ikapewa zigo hilo! Sasa muziki wake umekuwa mnene na muda umebaki mchache uwanja na miundombinu yake haujakamilika. Mazingira ulipo uwanja huo ni porini/msituni/kichakani barabara na majengo ya huduma kuzunguka uwanja huo hayajajengwa na panatakiwa eneo hilo liwe kama mji mdogo uliochangamka
Ipewe Rwanda yenye uwanja mmoja ipokwe Tanzania yenye viwanja vitatu tayari na cha nne kipo 70+%,we ni mtanzania?Kuna uwezokano nchi ikanyang'anywa uenyeji wa michuano hiyo na nchi nyingine hasa Rwanda ikapewa. Nchi ilikuwa imepandwa mzuka/mihemko kutaka kupewa kuandaa michuano hiyo na ikapewa zigo hilo! Sasa muziki wake umekuwa mnene na muda umebaki mchache uwanja na miundombinu yake haujakamilika. Mazingira ulipo uwanja huo ni porini/msituni/kichakani barabara na majengo ya huduma kuzunguka uwanja huo hayajajengwa na panatakiwa eneo hilo liwe kama mji mdogo uliochangamka
WEWE SIO shabiki WA soka na hua nakwambia kila SIKU HUNA UNACHO kijua ni mjinga FULANI hivi HUNA UNACHO kijua huwa una washwa madako TU, ANDIKA neno nifahamishe nikujize KITU sa hii harakaIpewe Rwanda yenye uwanja mmoja ipokwe Tanzania yenye viwanja vitatu tayari na cha nne kipo 70+%,we ni mtanzania?
Rwanda aliandaa chan peke yake 2016 we una mdharau una akili kweli?Ipewe Rwanda yenye uwanja mmoja ipokwe Tanzania yenye viwanja vitatu tayari na cha nne kipo 70+%,we ni mtanzania?
Kwa uhalisia ukitoa uwanja wa mkapa na amana complex kunakiwanja gani kingiIpewe Rwanda yenye uwanja mmoja ipokwe Tanzania yenye viwanja vitatu tayari na cha nne kipo 70+%,we ni mtanzania?
Majij8 kamaHii fursa ikiondoka ndio basi tena, itabidi nchi isubiri miaka miaka mingi kuja kuandaa tena kama itakuwa tayari ina viwanja bora. Tatizo ni kuwa na viongozi wasiokuwa na maono ya fursa za nchi. Walipojenga uwanja wa mkapa waliona imetosha kumbe walitakiwa kujenga viwanja vingine katika majiji mengine ili iwe rahisi kuomba na kupewa kuandaa michuano mikubwa. Kuna michezo ya jumuiya ya madola, olimpiki na kombe la dunia lakini hakuna maono ya kujiweka tayari kuwa na viwanja vya michezo hiyo ili ukiomba kuandaa unapewa kwa kuwa tayari una viwanja
Ngoja tuoneKuna uwezokano nchi ikanyang'anywa uenyeji wa michuano hiyo na nchi nyingine hasa Rwanda ikapewa. Nchi ilikuwa imepandwa mzuka/mihemko kutaka kupewa kuandaa michuano hiyo na ikapewa zigo hilo! Sasa muziki wake umekuwa mnene na muda umebaki mchache uwanja na miundombinu yake haujakamilika. Mazingira ulipo uwanja huo ni porini/msituni/kichakani barabara na majengo ya huduma kuzunguka uwanja huo hayajajengwa na panatakiwa eneo hilo liwe kama mji mdogo uliochangamka
Wakishakula zikaisha wanaanza kumtuma mama aende kwa waarabu kutafuta mkopo wa masharti nafuu asee ufisadi hii nchi hautaishaangekuwepo magufuri huo uwanja ungekuwa ulishaisha lakini hawa waliopo walishapiga pesa na wameshajenga majumba yao ya kifahari walitegemea kama kawaida wakipewa vimasada watadanganyishia
Uwanja mpya zenjiKwa uhalisia ukitoa uwanja wa mkapa na amana complex kunakiwanja gani kingi
Majij8 kama
Mwanza
Arusha
Mbeya
DOdoma
Ilitakiwa yawe na viwanja vya mpira visivyopungua viwili ila sasa uhalisia ukoje viwanja vipo vya hovyohovyo yaani shida tu
Kiwanja kimoja, bonanza,tena hata hiyo amahoro haikua hivyoRwanda aliandaa chan peke yake 2016 we una mdharau una akili kweli?
Kwamba wa Arusha 70+% umefeli na zenji wayafeli,nyi huwa wehu!?Huko nako watafeli tu
Tulia kwenu kenya na njaa yenu kaliMISIWE mnakurupukia VITU na hamvijui
WEWE SIO shabiki WA soka na hua nakwambia kila SIKU HUNA UNACHO kijua ni mjinga FULANI hivi HUNA UNACHO kijua huwa una washwa madako TU, ANDIKA neno nifahamishe nikujize KITU sa hii haraka
Uwanja wa Dodoma ilikua ujengwe na mfalme wa Morocco,akakaushaWapi sasa mkuu hakuna lolote watu washakula zao kitambo na waandishi washabinywa kende wasitoe taarifa kuhusu mradi