Faida ni kubwaKuandaa haya mashindano taifa linapata faida gani?
Kwahiyo hakuna chochote kinachofanyika pale mkuu?Wapi sasa mkuu hakuna lolote watu washakula zao kitambo na waandishi washabinywa kende wasitoe taarifa kuhusu mradi
Watafosi itumike viwanja vilivyopo Zanzibar, kule Mwinyi yuko serious na ujenzi wa viwanja.Kuna uwezokano nchi ikanyang'anywa uenyeji wa michuano hiyo na nchi nyingine hasa Rwanda ikapewa. Nchi ilikuwa imepandwa mzuka/mihemko kutaka kupewa kuandaa michuano hiyo na ikapewa zigo hilo! Sasa muziki wake umekuwa mnene na muda umebaki mchache uwanja na miundombinu yake haujakamilika. Mazingira ulipo uwanja huo ni porini/msituni/kichakani barabara na majengo ya huduma kuzunguka uwanja huo hayajajengwa na panatakiwa eneo hilo liwe kama mji mdogo uliochangamka
Nimeandika nikafutaFaida ni kubwa
.itachochea sekta ya utalii kukua zaidi hapo pesa za kigeni tutapata nyingi tu
●Wafanyabiashara watanufaika sana maana bidhaa muhimu zitauzika kwa uharaka zaidi hivyo faida kubwa
Na mengine mengi km uwekezaji
Hivi hiki unachokiandika unakijua😅😂😂😂Kiwanja kimoja, bonanza,tena hata hiyo amahoro haikua hivyo
Kwa vigezo vya viwanja 2026, Tanzania tunavyo zaidi ya nane,chamazi,namungo,kaitaba,kmc,isamunyo,mkwakwani,kwaraa
Hii nchi ina vituko sana kila mradi wanaouanzisha unakuwa kama n last born anajenga nyumba hvangekuwepo magufuri huo uwanja ungekuwa ulishaisha lakini hawa waliopo walishapiga pesa na wameshajenga majumba yao ya kifahari walitegemea kama kawaida wakipewa vimasada watadanganyishia
Msiwe mnarukia mamboHivi hiki unachokiandika unakijua😅😂😂😂
Au unadhani Afcon ni ndondo cup
SASA KIWANJA CHA MAJALIWA ULICHO SEMA WEWE KINA SIFA?Unaelewa maana ya 'kiwanja chenye sifa'?!..una upeo mdogo sana
Uwanja utakamilika bila shida yoyoteKwa mtazamo wangu huu uwanja hauwezi kukamilika sababu ni hizi
1)Kiwanja kipo maporini sana italazimika waanze kujenga miundombinu kama mabarabara , hospital , maduka n.k
2)Bajeti kubwa ya usalama hasa ulinzi mkali maeneo yote ya uwanja maana uko msituni
3)Pesa za afcon mkazitumia kwenye siasa mkasahau mradi kitawalamba tu .
4) Mradi umebakuza takribani miezi tu unadhani utakamilika pitch bado viti kufungwa bado kuweka mataa bado yaani ni zero
5) Mkandarasi akamatwe huwezi peleka kiwanja porini sisi sio sokwe .
6)Sasa mmeomba backup kutoka China wamalizie uwanja mshavurunda turudishe mpira kwa kipa wapewe rwanda.
Afcon inakuja kwenye nchi ambayo hata miundombinu kama barabara ni changamoto, maji hakuna, hospital hadi sasa hazijajengwa anyway ukichanganya siasa na michezo mwisho wa siku inakuaga hivyo .
Ukicheki uwanja wa kenya uko vizuri wamebakiza pitch tu wakamilishe facilities zingine nikumalizia tu
Uongozi mbaya husababisha miradi kufa .
Mliwambia how are you kumbe nahela hamna mlitegemea kukopa ili mkamilishe ujenzi , tajiri hanuniwi aya sisi yunataka uwanja ukamilike
Yaani CAF wataona watanzania wana matatizo ya akili endapo wataoneshwa hivyo viwanja ulivyoorodhesha ndio ifanyike mashindano ya AFCONKiwanja kimoja, bonanza,tena hata hiyo amahoro haikua hivyo
Kwa vigezo vya viwanja 2026, Tanzania tunavyo zaidi ya nane,chamazi,namungo,kaitaba,kmc,isamunyo,mkwakwani,kwaraa
Nchi Ina viongozi wa ajabu sana.....Kwa mtazamo wangu huu uwanja hauwezi kukamilika sababu ni hizi
1)Kiwanja kipo maporini sana italazimika waanze kujenga miundombinu kama mabarabara , hospital , maduka n.k
2)Bajeti kubwa ya usalama hasa ulinzi mkali maeneo yote ya uwanja maana uko msituni
3)Pesa za afcon mkazitumia kwenye siasa mkasahau mradi kitawalamba tu .
4) Mradi umebakuza takribani miezi tu unadhani utakamilika pitch bado viti kufungwa bado kuweka mataa bado yaani ni zero
5) Mkandarasi akamatwe huwezi peleka kiwanja porini sisi sio sokwe .
6)Sasa mmeomba backup kutoka China wamalizie uwanja mshavurunda turudishe mpira kwa kipa wapewe rwanda.
Afcon inakuja kwenye nchi ambayo hata miundombinu kama barabara ni changamoto, maji hakuna, hospital hadi sasa hazijajengwa anyway ukichanganya siasa na michezo mwisho wa siku inakuaga hivyo .
Ukicheki uwanja wa kenya uko vizuri wamebakiza pitch tu wakamilishe facilities zingine nikumalizia tu
Uongozi mbaya husababisha miradi kufa .
Mliwambia how are you kumbe nahela hamna mlitegemea kukopa ili mkamilishe ujenzi , tajiri hanuniwi aya sisi yunataka uwanja ukamilike
Uwanja wa Arusha upo katika hatua nzuri kabisa. Changamoto ni hizo huduma nyingine.Kwamba wa Arusha 70+% umefeli na zenji wayafeli,nyi huwa wehu!?
Acheni kukurupuka,niliyemjibu ilikua ni kuhusu chan siyo AFCONYaani CAF wataona watanzania wana matatizo ya akili endapo wataoneshwa hivyo viwanja ulivyoorodhesha ndio ifanyike mashindano ya AFCON
Wanaongelea viwanja vya mpira sio hayo maboma ya kulisha kondoo unayo yataja hapo mvua ndogo tu ikinyesha ni majaluba ya mpunga.Kiwanja kimoja, bonanza,tena hata hiyo amahoro haikua hivyo
Kwa vigezo vya viwanja 2026, Tanzania tunavyo zaidi ya nane,chamazi,namungo,kaitaba,kmc,isamunyo,mkwakwani,kwaraa
Viwanja nilivyotaja ni vya nyasi bandia,jikite kulima hoho mkuuWanaongelea viwanja vya mpira sio hayo maboma ya kulisha kondoo unayo yataja hapo mvua ndogo tu ikinyesha ni majaluba ya mpunga.
Hoho ndio nini hiyo.Viwanja nilivyotaja ni vya nyasi bandia,jikite kulima hoho mkuu