Ujenzi wa uzio wa waya (senyenge)

Ujenzi wa uzio wa waya (senyenge)

Mamy7

Member
Joined
Apr 18, 2023
Posts
21
Reaction score
29
Habari wanajukwaa,

Naomba mwenye uzoefu wa kujua eneo la sq metre 400 (20×20) linahitaji nguzo ngapi na waya kiasi gani kwa kujenga fence (uzio)?

Asanteni
 
Nguzo 35 ikiwa kwenye corner utaweka nguzo tatu tatu space toka nguzo Moja Hadi nyingine ni 3metersc/c
Chain link fence wire 7bundles@12m
Straining wire/ kench wire 1bundle @640m
Barbed Wire 2.5bundles @110m
 
Na bei ni shingapi sasa hivi?
 
Nguzo 35 ikiwa kwenye corner utaweka nguzo tatu tatu space toka nguzo Moja Hadi nyingine ni 3metersc/c
Chain link fence wire 7bundles@12m
Straining wire/ kench wire 1bundle @640m
Barbed Wire 2.5bundles @110m
Ubarikiwe sana kwa mchanganuo huu,at least nimepata pa kuanzia kupiga mahesabu ya gharama,shukrani sana
 
Nguzo 35 ikiwa kwenye corner utaweka nguzo tatu tatu space toka nguzo Moja Hadi nyingine ni 3metersc/c
Chain link fence wire 7bundles@12m
Straining wire/ kench wire 1bundle @640m
Barbed Wire 2.5bundles @110m
Hii imekaa vizuri
 
Back
Top Bottom