Huu ni Upuuzi na majungu ya ajabu sana yaani hakuna cha maana hapo, unadhani nafasi moja hiyo ya Tanroads itakaliwa na wangapi? Nani kasema Mrema alifanya madudu, madudu gani alifanya mbona madudu ya Mrema hawayasemi!
Ni lazima hapo Tanroads awepo mtu mmoja, ambaye ni Mtanzania atakaye weza kufanya hiyo kazi, huyo Mfugale mnaye jaribu kumpiga majungu mbona hamtaji weakness zake mnalalama tu! Mfugale anafaha wamejuaje kama Rais alikuwa anampunguzia kazi iliaje Tanroads?! Tayari tunajuwa kuwa Mrema alikuwa mchapa kazi na mlimchukia kwasababu aliibua Wizi wenu mkubwa hapo na hata kuwasimamisha Wakurugenzi waliokuwa Miungu mtu. Mnataka rais aingilie nini? sisi tunasema Rais apunguziwe madaraka hanayo mengi bado mnaota ndoto za Ujima!! toeni sababu zinazo wafanya mshuke morali ya kazi kwa kuanisha kuanzia sababu moja hadi ya mwisho la sivyo Magufuri awafukuze kazi hao ambao hawataki kufanya kazi wanaleta kiburi kazini!
Hao watu wasiwe wapumbavu wakuamini kuwa wao ndio Watanzania pekee wakuweza kushika hizo nafasi kama hawataki kufanya kazi na Magufuri anajua na anauthibitisho watoke waingine wengine wasukume durudumu.