Ujerumani atatwaa Ubingwa wa Kombe la Dunia 2018

Ujerumani atatwaa Ubingwa wa Kombe la Dunia 2018

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Enyi team Neymar, team Ronaldo na bila kusahau team Griezmann,najua wengi wenu mtabishana sana na ukweli ulio wazi na wenye kuonekana dhahiri kuwa Kombe la Dunia la mwaka ujao 2018 nchini Urusi lina bebwa tena na ujerumani.

Timu pekee ambayo imekuwa ikimsumbua mjerumani imekosa nafasi ya kushiriki michuano hiyo, hivyo basi na kuipa nafasi kuwa Vijana wa Angel Mekel kufanya yao kirahisi sana mwakani.

Kuna underdogs kama team Kane, team Iniesta na team Lukaku, wala sibishani na nyinyi kwa kuwa sioni kile mnacho weza kufanya mbele ya team Neymar,Ronaldo na Griezmann.

Mjerumani anaena kufanya kitu ambacho kinafikiriwa na wengi hivi sasa kwenye mioyo yao.

6.jpg
1.jpg
7.jpg
8.jpg
9.jpg
10.jpg
12.jpg
11.jpg
13.jpg
14.jpg
15.jpg
16.jpg
0.jpg
2.jpg
3.jpg
4.jpg
5.jpg
 
My mkuu ujeruman hachukui ubingwa msinu huu kuna timu zipo vizuri mfano France, UK, hapa kwa england endapo wakijipanga vizuri kikosi chao kimesheheni lundo LA vijana Hawa ndio mabingwa Wa dunia Wa U17,U20
 
Ujerumani wala awana mbwembwe subirini Dimbani

Nuer

Kimmich,Boateng,Rudger,Howeds


Kross, Khedira,Rudy

Muler Wermer, Sane


Hii kikosi hata shetani akija anakufa


Wach out[emoji67]‍⚖️
 
yani umerasimisha kabsaa!!!! akili za kubeti zinafanana sana duniani kote
 
Kuna kila dalili kuwa Ujerumani huenda ikatwaa tena kombe la dunia, kwa sababu zifuatazo kutoka kwa wachambuzi wa soka.

1/Uwezo wao wa kisoka umeongezeka maradufu toka watwae kombe la dunia mwaka 2014...

2/Wana kikosi kikubwa mno. Mpaka sasa tayari wana vikozi vya timu ya taifa vitatu na vyote vimesheheni wachezaji wazuri wenye viwango. (Kikosi chao cha tatu, ni vijana wadogo wa chini ya miaka ishirini, na ndio kilitwaa kombe la maabara mapema mwaka huu).

3/Maandalizi ya kuelekea Urusi, walimaliza kuyafanya mapema mwaka huu. Waliwekeza wataalamu wa soka kwenda kufanya utafiti wa kisoka katika nchi zote zenye kuleta ushindani mkubwa.

4/Timu zenye uwezo wa kucheza kwa nguvu kubwa na uzoefu wenye kuleta ugumu mkubwa dhidi ya ujerumani baadhi yake zimeshindwa kabisa kufuzu kwenda Urusi. Mfano Italia, Uholanzi, Ivory Coast, Ghana, Cameroon
 
Back
Top Bottom