demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Enyi team Neymar, team Ronaldo na bila kusahau team Griezmann,najua wengi wenu mtabishana sana na ukweli ulio wazi na wenye kuonekana dhahiri kuwa Kombe la Dunia la mwaka ujao 2018 nchini Urusi lina bebwa tena na ujerumani.
Timu pekee ambayo imekuwa ikimsumbua mjerumani imekosa nafasi ya kushiriki michuano hiyo, hivyo basi na kuipa nafasi kuwa Vijana wa Angel Mekel kufanya yao kirahisi sana mwakani.
Kuna underdogs kama team Kane, team Iniesta na team Lukaku, wala sibishani na nyinyi kwa kuwa sioni kile mnacho weza kufanya mbele ya team Neymar,Ronaldo na Griezmann.
Mjerumani anaena kufanya kitu ambacho kinafikiriwa na wengi hivi sasa kwenye mioyo yao.