Ujerumani atatwaa Ubingwa wa Kombe la Dunia 2018

Mkuu uzi wako mtamu sana. Kwa MANSHAFT Sipingani na wewe,,,,,lakinii hilo kombe linawahusu zaidi ARGENTAIN.kikosi chao nakipaasilimia 90

Hii Squad ni very dangerous,,,kocha awapange vizuri,,,kuna kipindi niliwaambia humu__Argentina bila kushiriki urusi pasingenoga.

First eleven/sub

KING MESSI
LITTLE MAGICIAN DYBALA
DI MARIA
AGUERO
LCARDI
HIGUAIN
BENEDDETO
JONATHAN MAIDANA/BLACK
NICOLAS OTAMENDI
MARCOS ROJO
MASCHERANO
NICOLAS GAITAN
AUGUSTO FENANDEZ
EMANUEL MAMMANA
ROBERTO PEREIRA
MARIANO ANDUJA
FERNANDO GAGO
JAVIER PASTORE
KRANEVITTER
EMANUEL MAS
JOSE SOSA
MUSSACHIO
LUCAS ALARIO
FUNES MORI
ANGEL CORREA
ERICK LAMELA
GABRIEL MERCADO
FEDERICO FAZIO
EVER BANEGA sina uhakika kama ataitwa kikosini huyu fundi
LUCAS BIGLIA,, N.K
 
Kwani majina ndo yanayocheza mkuu?? Ni mara ngapi Argentina imekua na hao watu ktk mashindano mbalimbali na wameshindwa kufua dafu, au icho kikosi ndo mara ya kwanza kuitwa??
Angalia Italy na watu walionao, lkn kapigwa na nani na wachezaji wa aina gani??
Sometimes soka ni kama draft tu Mkuu.
 
Nafasi nawapa Ujerumani na Argentina.

Ufaransa licha ya kuwa na kikosi kizuri kinachoundwa na vijana, siwapi nafasi kubwa sana ya kushinda taji.
 

Nikweli kamanda wangu, timu ina wachezaji wazuri mno,,,tatizo lipo kwa kocha na uongozi/AFA vile vile.
 
Nafasi nawapa Ujerumani na Argentina.

Ufaransa licha ya kuwa na kikosi kizuri kinachoundwa na vijana, siwapi nafasi kubwa sana ya kushinda taji.

Mkuu rudisha avatar yako ya zamani. Kuna siku nilitaka nikupe moja mbaya sana ila nikakaa silent baada ya kuona ID yako inaishia 5 😀
 
Nikweli kamanda wangu, timu ina wachezaji wazuri mno,,,tatizo lipo kwa kocha na uongozi/AFA vile vile.
Only 90 minutes talks in the pitch mkuu, tuombe uzima tu ili tuwe miongoni mwa wachache watakaoyaangalia mashindano aya mkuu
 
Hii timu ishapigwa 4 kavu na mjeruman alafu kwenye final ya WC wakapigwa tena!! This time messi atastaafu tena kwa kupigwa maana timu ikishindwa anatabia ya kususa kama mwanamke
 
Kwa ulaya mwamba pekee wa kuisumbua Ujerumani ni Belgium, na Kwa Latin America labda Brazil ndio wanaweza kuisumbua ujerumani. Kwa Africa hakuna na Asia hakuna.

Karata zangu za nani anaweza kutwaa ubingwa wa soka duniani ni...
1/Ujerumani.
2/Brazil.
3/Belgium.

Wafaransa bado wachanga sana, Argentina hawatabiriki tena. Brazil siku zote ni tishio kwenye kombe la dunia, yote hayo ni kwa sababu za Kihistoria, Uzoefu, Hasama kutoka kwa wananchi wao, Vipaji vya soka, asili ya kandanda lao na Maandalizi ya mwisho mwisho kuelekea kwenye mashindano hayo yanakuwa makubwa sana kutokea benchi la Ufundi. Soka kwao ni kama imani.
 
Brazil ....Germany ....France ....Spain ....one of them anabeba kombe LA dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…