Ujerumani ni timu ya kuangaliwa kwa jicho la tatu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii timu imezoea ushindi, haina wasiwasi na wala haitegemei uwezo wa mchezaji mmoja mmoja, wanacheza Total football, ukishangaa watakuadhiri kwa kiwango ambacho hutasahau!

Hawana presha ya vyombo vya habari maana hawajadiliwi sana, ni kama wamesahaulika vile.

Nawatabiria kufika mbali.
 
Japo naipenda England lakini Germany wako vizuri sana..
Natamani kuona Fainali ya England vs Germany.....
Hapo ndo wajerumani watajua England ni nani
 
Mawazo yako yamekaa ki England tupu yani kupita makundi ishu leo hii unawaza hao vuvuzela wafike final
Subiri utaona maajabu....England anafika final...

Sema Jana kocha ndo aliigharimu timu kwa sub mbovu...
 
Duu nilivyoona tu jicho la tatu nikajua ni mambo yangu yale
 
Japo naipenda England. lakini Germany wako vizuri sana..
Natamani kuona Fainali ya England vs Germany.....
hapo ndo wajerumani watajua England ni nani

.....waingereza wenyewe wanajua wanaenda tolewa robo fainali,wakikusoma watakushangaa kinoma😀😀😀
#final: Germany vs France, kama yoyote kati yao hatakutana na Spain coz Spain anaweza kuchukua nafasi yoyote kati yao!
 
Hao ndiyo mabingwa
 
Japo naipenda England. lakini Germany wako vizuri sana..
Natamani kuona Fainali ya England vs Germany.....
hapo ndo wajerumani watajua England ni nani
Hio final haipo kabisaa kwa England hii!! Utasubiri sanaaaa
 
Na kombe tutabeba,
 
Nadhani wadau mnaendelea kujionea yanayotokea .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…