Uji wa unga wa muhogo

Uji wa unga wa muhogo

chief_mtemi

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
529
Reaction score
121
Ndugu wana jf salaam,
naombamsaada wa kujua ubora wa uji wa muhogo ukilinganisha na ule wa unga wa sembe hasa kwa matumizi ya watotowenye kujua tafadhari naomba maoni yenu
 
Ndugu wana jf salaam,
naombamsaada wa kujua ubora wa uji wa muhogo ukilinganisha na ule wa unga wa sembe hasa kwa matumizi ya watotowenye kujua tafadhari naomba maoni yenu

uji wa muhogo una wanga ya kutosha zaidi ya unga wa sembe, kwa matumizi ya watoto unaweza kuchanganya na unga wa ulezi.
 
Back
Top Bottom