john dofrian New Member Joined Aug 23, 2011 Posts 2 Reaction score 0 Aug 23, 2011 #1 tunahitaji kubadilika kutokana na mazingira.tuna macho na tuone basi yanayotendeka katika nchi yetu.
IGWE JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 9,578 Reaction score 7,774 Aug 23, 2011 #2 john dofrian said: tunahitaji kubadilika kutokana na mazingira.tuna macho na tuone basi yanayotendeka katika nchi yetu. Click to expand... wewe umeona nini na umebadilikaje?,.....to start with
john dofrian said: tunahitaji kubadilika kutokana na mazingira.tuna macho na tuone basi yanayotendeka katika nchi yetu. Click to expand... wewe umeona nini na umebadilikaje?,.....to start with
G_crisis JF-Expert Member Joined Jun 19, 2011 Posts 723 Reaction score 247 Aug 23, 2011 #3 Kuona tunaona ila tatizo ni uwoga ambao husababisha kutojiamini