"Ujinai" wa Lulu katika "mauaji" ya Kanumba (R.I.P)


Hivi kesi za mauaji kwa Tanzania huamuliwa na wana-baraza (jurors) au majaji?
 
kila kesi huwa inaamuliwa kulingana na facts zake. .... kwahiyo kwa swali lako, naweza sema not always, ila kila kesi huamuliwa kwa facts zake....
Hute, this is what I wanted to 'hear' from you. Kwenye post yako umesema 'always' kitu ambacho akili yangu ilikuwa inakataa kukipokea! Pamoja mkuu.

..... kwa hiyo unataka kusema lulu alikuwa na nia ya kumpiga kanumba hadi amuue, kwahiyo alianzisha ugomvi kama chambo? is that what you wanted to say, kwasababu hapa tunaongelea topic ya lulu ujue.
Noupe! Mimi na wewe sote hatujui kwa uhakika hasa kilichotokea katika kadhia hii...na polisi wetu ndio hivyo tena! Lakini kama ni maoni yangu, mimi nasema that is a possibility but I would add...it is very unlikely. Lakini wachunguzi (polisi) wanapaswa kuangalia mambo yote haya especially kama matokeo uchunguzi/ushahidi wa awali hau exclude hizi possibilities nyingine.
 
Nafikiri swala la msingi hapa kama sio sekondari ni kupata kwanza maelezo walio yatoa kule police hawa 2suspect then ndio tunaweza kupata angalau ka picha ilikuwa nini......
 
Hapa naona mnasahau mchango wa Jack Daniels. Aidha wote walikua bwii au marehemu peke yake. Pombe inapoteza stability, unaweza anguka bila kuguswa na ukiangukia kitu kibaya ukapata madhara.
Halafu pombe kali hupandisha presha kidogo wakati unakunywa. Sasa ukioga muda huohuo mwili unapoa na presha inaweza shuka ghafla, ndio maana unasikia wanywa pombe kali kibao washaanguka bafuni wenyewe tu, wengine na mauti zikawakuta.

Mimi nafikiri pombe ikizidi tu, wala si binti Lulu. Ni bahati mbaya tu kuwa Lulu alikua nae
 
Yawezekana kabisa kulikuwa na syndicate katika mauaji hayo. Mawasiliano ya simu kabla ya kifo ndio mzizi wa kuanzia uchunguzi wa mauaji, forensic yaweza kufanyika hata kama kumekuwa na ujio wa watu wengi. Kwa kuwa kifo kilitokea chumbani nadhani idadi ya watu walioingia chumbani sio kubwa na wanajulikana walioingia mwanzo
 

Wahandishi wa kibongo ni makanjanja siku zote, kwani ukuona walivyochemka walipojaribu kueleza ugonjwa wa Mwakyembe! Eti Kanumba kafa kwasababu ya Brain Concussion! shame on them!
 
mimi naomba kitu kimoja tu.
kama kweli WOS et al mnampenda huyu mtoto, mwacheni aseme ukweli......... aseme kila kitu ambacho kilitokea siku ile ambapo yeye tu anajua. kwa kufanya hivyo itamsaidia sana, hata kama atahukumiwa adhabu gani, hatakumbwa na guilty consciousness ambacho ni kitu kibaya sana kwa maisha yake yaliyosalia.
kama tunavyoaminishwa kuwa bado ni mtoto mdogo, apewe chance ya kutubu ili hata kama atatetewa na kuwa huru atajua kuwa alisema ukweli na ukweli wake umemuweka huru.
Ila nashangaa kitu kimoja; wakati lulu alifanya ile party ya kutimiza miaka 18 na vyombo vingi sana vya habari kuandika kuhusu party hiyo hakuna ambaye alitoka mbele kupinga kuwa Lulu hajatimiza miaka 18............ hii ya leo imetokea wapi?
 



Kaka umenigusa sana nimeshakaribia gombana na marafiki zangu juu ya Lulu, tumwache mahakama ifanye uchunguzi na naimani She is innocent kwani hajampa sumu labda katika kujiokoa ikawa vile. Mungu Atampigania kwani yeye ndo mpanga tarehe.
 

Mkuu pamoja na hayo still anawezekana asikutwe na hatia yoyote. Ndiyo maana naepuka kabisa kufanya majumuisho kuwa kuna options mbili tuu za yeye kuwa guilty for murder or manslaughter simply because sijui hata kama she was the one who caused the death both in fact and in law.

Kweli zipo kesi kibao tuu zinazosema kuwa zinazosema death resulting from a fight will always end up to a lesser offence of manslaughter, na sio murder. Lakini kweli tuna uhakika kuwa the death was the result of a fight? Even if it was a fight, what if akisema alikuwa anaji-defend herself? Bado atakuwa convicted of manslaughter?

Kwa nini tufanye assumption kuwa katika kesi yeyote ukiona kuna mazingira ya kupigana, basi hiyo huenda moja kwa moja kwenye manslaughter? Why? Una maana mtu hawezi kupigana with malice aforethought to cause GBH au kifo? Pamoja na hiyo case law still each case should be decided based on its own facts and circumstances.

Naamini kabisa kuwa hata hao polisi hawachunguzi tuu kama ashtakiwe for murder or manslaughter. Naamini kabisa kuwa wanachunguza kujua if she actually caused the death. Wanatafuta ushahidi wa aina yoyote wa kuonyesha kuwa yeye ndio aliyesababisha hicho kifo. Hata kama wakikuta facts and evidence showing that she, in fact, caused the death bado kuna umuhimu mkubwa wa ku-establish whether she caused the death in law as well.

Kuna watu wengi wako magerezani wameshitakiwa for either murder or manslaughter but they did not cause the death either in fact or in law. Pia wapo wengi ambao walishatakiwa for either manslaughter or murder but the court found them not guilty though kama uchunguzi makini ungefanyika ingejulikana kuwa they actually caused the death both in law and in fact.

Kwa hiyo, naona tuache ku-jump na kufanya majumuisho ya manslaughter and murder tena tuu kwa ku-base on speculations that it was a fight which might have resulted the death. Who knows, she might not even be guilty for the death. Kwenye homicide cases kama hii, the first issue is DID SHE CAUSE THE DEATH BOTH IN FACT AND IN LAW?

Kwa sasa she is innocent until proven guilty. Lakini unaposema kwamba "katika kesi yeyote ukiona kuna mazingira ya kupigana, basi hiyo huenda moja kwa moja kwenye manslaughter" ni sawa na kusema she is guilty of manslaughter until proved otherwise.
 
WATANZANIA ACHENI UZUSHI ACHENI POLISI WATOE TAMKO JUU YA KIFO CHA KANUMBA! ohhh unasikia mara lulu kauwa wapi na nani kasema!
 
that makes some sense..
 
Hili suala zito sana...ila walau umetupa kitu....
Thank let us wait
 
you are very right. sema tunaongea tu hatuna facts zozote. bahati nzuri, mimi facts zake nazijua kidogo kwasababu niko kwenye system hiyo hiyo ya usalama na mpelelezi wa jalada hili namjua. kama akifanikiwa katika defence hiyo ya self defence, basi sheria inasema atatakiwa kuwa acquitted. hivyo ataachiwa huru. hii sasa inategemea sana na cautioned statements zile alizoziandika kule polisi, ushahidi wa sethi na mashahidi wengine, postmortem examination report etc. pamoja na kwamba defence hizo kwake harakaharaka kwa sasa inaweza kuwa ngumu sana kufanikiwa, na itamchukua muda mrefu sana kuendelea na kesi ya usikilizwaji, muda ambao kama akija kuplea wakati ametokea mara ya kwanza high court, atapigwa adhabu yake palepale ambayo siyo kubwa kwa manslaughter. i mean kama akija kukubali kuwa kulingana na mzozo huo bahati mbaya mwenzake alidondoka akafa, hivyo hakukusudia kusababisha kifo. na kama atakuwa tayari kuendelea na usikilizwaji (ambao unaweza pia kwenda haraka sana kwasababu naona mashahidi ni wachache sana), akafanikiwa kwa defence ya self defence, basi ataachiwa huru kabisa kabisa.
 
Reactions: EMT

Mkuu still hapo bado naona kama vile bado umeshikilia pale pale. Naamini defenses including self defence huwa zinakuja baada mshtakiwa kukubali kuwa ali-commit hiyo offence lakini alifanya hivyo kujilinda. Kuna umuhimu mkubwa wa kutofautisha kati ya plea of substantive defense and challenges made against factual evidence presented by the prosecution. Ni vitu viwili tofauti.

Kwa mfano, mtu akishtakiwa kwa assault causing GBH, mshtakiwa anaweza kukataa kuwa hakufanya hivyo by relying on an alibi or kudai kuwa kuna mistake of identify on the prosecution evidence. Hii ni tofauti na pale mshtakiwa anavyokubali kuwa s/he struck the victim but claims that s/he did so because the victim had been about to attack him/her. Hapo ndipo anapokuwa ana-raise the substantive defense of self-defence.

Wewe kama vile unaongelea plea ya self-defence to challenges against factual evidence presented by the prosecution. Hata kama ulikuwa unamaanisha the plea of substantive self-defense, ni kama vile tayari unakubali the fact that kuwa she actually struck the the victim. Did she? We don't know. Tumeambiwa tuu kulikuwa na arguments kati ya yeye na victim.

Whether kwenye hizo arguments waligusana to the extent ya kuanza kusukumana au hata kupigana, hatujui. Hata hii fact wanayosema alikimbilia nje, wanamaanisha nini by "nje"? Nje ya chumba, nje ya nyumba, au nje ya geti?

Mimi bado sijafika hata kwenye stage ya yeye kuraise the substantive defence of self-defense. Bado nipo kwenye preliminary issue ya did she cause the death in fact and in law? The prosecution must show this, ena beyond reasonable doubt. If not, lazima awe acquitted. If so, ndiyo zinakuja issues nyingine za aina ya homicide aliyo-commit and if there are any defenses she can rely on.
 
you are right again sir. what i have spoken above actually is based mostly on my experience katika kesi za murder. nilishawahi kuhudhuria na kuwa prosecutor kwenye kesi kadhaa katika kikao cha mahakama kuu. sote kwa sasa hatuwezi sema sana kwasababu jalada halipo mikononi mwetu tukalisoma na kupata picha kamili. sometimes watuhumiwa wengine huwa wanakaa ndani muda mrefu kusubiri upelelezi, hata miaka mitatu, kabla ya kuingia mahakamani, huwa tunaingia kabisa kwa presiding judge,,mimi prosecutor pamoja na defence counsel, tunajadili kwanza ili kuona kama hii kesi inatufaa kuendelea nayo na usikilizwaji na murder au la, kama tunaona usikilizwaji na murder tunaona utachukua muda sana na mazingira kidogo yanadondokea kwenye manslaughter, wakili wa watuhumiwa huwa anaambiwa kabisa akaongee na washitakiwa waje wakubali/plea ya manslaughter, na wanapata adhabu kidogo. ilishawahi kunitokea incident moja, jamaa wawili walikataa ushauri huo, judge akawapa hukuumu ya kunyongwa, hadi leo wanasumbuka na appeal court of appeal hapo. practically, kabla ya kuingia mahakamani, lazima mnakaa na jaji kwanza. hakuna anayependa mtu akanyongwe ati, kama kuna mwanya wa kumponya mtu, anaponywa.

kwasasa lulu anashitakiwa na murder, wala si manslaughter, upelelezi utaendelea ukikamilika, jalada litapelekwa kwa mawakili wa serikali, wataliandikia opinion na kudraft charge yake. kama akibahatika, kulingana na ushahidi akadraftiwa charge ya manslaughter, basi ataendelea na kosa hilo. so nilipokuwa naongea, kulingana na ushahidi huu wa juu juu tu tulio nao magazetini, nilisema hiyo itakuwa manslaughter kwasababu nilsishaandika sana hizo opinion na charge na hata kupropose nolle prosequi ili incharge wangu ambaye ni mwakilishi wa dpp akubali tuwatoe watu kwa nolle. this is how things work.

kama kule kwa state attorney's wataona yafaa aendelee na kosa hilohilo la murder, watapropose charge hiyoiyo iendelee. you have to know these stages. POLICE UPELELEZI, OPINION YA STATE ATTORNEYS, CHARGE. hapo ndo atakuwa committed to the high court (hii yote ilikuwa committal proceeding tu hapo subordinate court). tukienda mahakamani, kama kule state attorney walisema aendelee na murder based on the evidence collected, ndo ataanza labda kuleta defences labda ya self defence etc. alibi hawezi kuitaja kwasababu upo ushahidi kuwa alikuwepo pale. anyway, hatuwezi kuongea sana, LAKINI CHA MUHIMU NI KWAMBA, KITAKACHOAMUA HAPA NI MAWAKILI WA SELIKALI HATUJUI WATAAMUA AENDELEE KUJIBU SHITAKA LIPI, akisubiria hiyo anaweza kuspend muda mrefu sana jela.
 
Reactions: EMT
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…