Ujinga gani wa faida ulishawahi kufanya?

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
887
Reaction score
2,010
Habari wakuu mko poa,

Iko hivi katika maisha yako kuna ujinga ulishawahi fanya matokeo yake yalikuwa faida au hasara.

Kwa upande wangu;

1.Niliwahi kufanya ujinga wa kufanya mapenzi bila kumtongoza.

2.Maisha yangu yote nilikuwa sisomagi ila nafaulu tu hasa kwa chabo nilitoka na GPA ya 4.5.

3.Kazini sifanyagi kazi kwa kusifiwa ila mimi ndo nakula mshahara mkubwa.

AISEE NI MJINGA MTUPU.
 
Mwaka jana kipindi cha kampeni za Kuwawania urais nchini marekani Donald trump kwenye moja ya post zake za facebook ilikua na hotuba iliyolenga kuwafurusha wa Afrika walio marekani basi mimi katika kucoment nikajikuta nimeandika hivi''Bora uwarudishe hao watu kwa sababu mimi nina kaka yangu toka aondoke Tz kuja huko miaka 3 imepita misaada hakuna wala simu hapigi ila muda wote namuona online facebook''basi nilitukanwa sana na watu weusi hasa wa afrika ila siku moja baada ya kama wiki tatu hivi nikaona kaka kalike coment yangu kwenye ule ukurasa pia aka anza kufanya mawasiliaono na bi mkubwa na hadi sasa anatupa misaada vya kutosha,na alitua bongo mwezi wa 6..Dah ujinga huu ulikua na faida sana kwangu..
 
Duhh....[emoji12] [emoji12]
Baby love ananiambiaga eti huu ni mwanya.....[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
hahahahahahhaah haya bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…