wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Nakumbuka kipindi nipo mdogo mama alinipa mfuko akanituma kwa jirani yetu mbali kidogo akaniambia mpelekee huu mfuko bibi kuna mzigo wangu atakupa uweke huku ulete!
Mimi nikachukua tyre langu la chuma nililikata kwenye drum!!(kwa wale wa kijijiji wanaelewa tunaliitaga ringi) fasta nikaenda!!
Yule bibi alinipa maharagwe kama kilo 2 hivi, akaniambia ukifika njiani umwagee ee!
Mi nikamwambia haya kumbe yeye alikuwa ananipima akili asee, nikaenda mbele kidogo nikamwita yule bibi. Bibi bibi nimwage hapa? Yule bibi akaniambia mwaga hapo mpelekee mama yako huo mfuko!!
Mimi sikuchelewesha nikamwaga fasta mimi mbio nikarudisha mfuko kumpa mama.Mama akaniuliza mzigo wangu alokupa uko wapi?
Mi nikamwambia mama mbona kaniambia nimwage mi nikamwaga! Daaa nilichezea stiki balaa!!! Mama akaniambia kimbia upesi kaokote yote ulete !
Mimi nikaenda na mahasira yangu nikaokota kidogo mengine nikarusha chini ya mikahawa ili nimalize haraka, nikarudi zangu home na maharagwe!!
Kumbe yale nilotupa chini ya kahawa baada ya siku tano yakaota mareefuu badala (si unajua mche ukiota ukokosa hewa unavyukuwa mrefu kutafuta hewa) basi mama siku akapita akaona miche ilivyo ota mingi akaja home akanishika akaniuliza siku ile yale maharagwe uliokota yote!
Mimi nikamwambia ndio!! Mama akaniambia twende ase tulikuta miche mingi balaa nikapigwa tena stiki!! Hili tukio la pili ambalo sitoweza kusahau!!