Ujinga ni nini?

Ujinga ni nini?

van disel

Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
45
Reaction score
51
Ujinga ni pale watu wako kwenye majonzi makubwa kwa kiongozi wao kuumizwa vibaya na watu wasiojulikana, raisi anapokea ripoti ya alimasi, mtekaji wa watoto kuuwawa,
Unaamua kuweka mb zako ili usome hizo habari kwa undani facebook, ile kufungua to facebook unakutana na lisura la mdada mbaya alilopaka lipshine au lipicha la full amegeuka nyuma kuonyesha watu makalio ambayo yako kama matofali ambazo kwa ujinga wake hataki kujua kinachoendelea duniani yeye anasaka likes na comments only. Pia unakuta mdada mjinga anarudisha majibu ya komment ya picha za nyuma na linatokea lisura lake libaya, hujakaa vizuri inangia meseji ya ppoa ambayo ni ya dada unayemfukuzia ffb baada ya kumtumia meseji tangu juzi yeye ndio anajibu leo watu wana majonzi. Hapo ndipo utajua kuwa kuna baadhi ya wanawake wamekuja duniani kudanganywa only kwa like na comments.
 
Kujibu ' headline ' yako ni kwamba Ujinga ni Ujinga tu.
 
Ujinga ni kushindwa kuwazoea na kujua namna ya kuishi nao wakati akili zao na tabia zao ziko wazi..
 
ok ujinga tumeujua ni nini sasa swali langu ni nani mjinga apo maana kwasababu izo mjinga lazima ajulikane binafsi nimekuelewa sana mkuuuu
 
Ujinga ni pale watu wako kwenye majonzi makubwa kwa kiongozi wao kuumizwa vibaya na watu wasiojulikana, raisi anapokea ripoti ya alimasi, mtekaji wa watoto kuuwawa,
Unaamua kuweka mb zako ili usome hizo habari kwa undani facebook, ile kufungua to facebook unakutana na lisura la mdada mbaya alilopaka lipshine au lipicha la full amegeuka nyuma kuonyesha watu makalio ambayo yako kama matofali ambazo kwa ujinga wake hataki kujua kinachoendelea duniani yeye anasaka likes na comments only. Pia unakuta mdada mjinga anarudisha majibu ya komment ya picha za nyuma na linatokea lisura lake libaya, hujakaa vizuri inangia meseji ya ppoa ambayo ni ya dada unayemfukuzia ffb baada ya kumtumia meseji tangu juzi yeye ndio anajibu leo watu wana majonzi. Hapo ndipo utajua kuwa kuna baadhi ya wanawake wamekuja duniani kudanganywa only kwa like na comments.
Ujinga ndio huo apojuu[emoji115]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pambana na hali yako.
We jamaa nikuulize swali?? Unaona faida gani kudukua/kuiba avatar yangu aisee...Yaani hii avatar nimeibadilisha kwa kuwa mtu mwingine aliniibia nimeweka na hii na wewe umeeiba unaweka kwako kirahisi tu??

Acha usanii mkuu, Kuna mamilioni ya picha (avatar) huko lakini unaona SAWA kutumia hii ya kwangu ambayo nimeweka na jina langu kabisa...

kiroho safi nakuomba ubadilishe hii avatar kwa maana mimo nitaonekana msanii na hata sifa mbaya huku jukwaani..

Hapa JF kila mtu ana avatar yake inayomtambulisha...nakuambia hivi kwa kuwa wewe ni mgeni na hata kama ni mwenyeji umefungua ID mpya hilo jambo unalofanya ni UZINGUAJI MKUU..

ACHA WIZI WA KUIBA AVATAR ZA WATU

Sent from my iDevice using Tapatalk

Sent from my iDevice using Tapatalk

Sent from my iDevice using Tapatalk

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Back
Top Bottom