Ujinga ni nini?

chambimagaka

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
288
Reaction score
338
Ujinga ni vibarua milioni 1 wanaochanga tsh 500 kila siku,sawa na 15,000,000,000/=(tsh Bilioni 15) kwa mwezi,na kumpa bilionea,ambaye baadae huwashukuru kwa kumchagua kibarua mmoja na kumpa Milioni 10.

Nafikiri kubeti kunaweza kuelezea hili kwa urahisi zaidi.
 
inachoooomaa kama nini...........
 
huu ni ukweli mchungu sawa na kijana kuyakubali majibu ya HIV+
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Ujinga ni pale unamlaumu mbunge wako kuwa hajaleta maji wakati hata hukujiandikisha kupiga kura
 
Ujumbe fikirishi sana huu, atakaye usoma na bado akaendelea kutoa mchango wake kwa billionaire basi milembe kunamhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…