Ujinga ni nini?

Daata

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
4,673
Reaction score
1,875
Hivi maana halisi ya ujinga ni nini. Viashiria vya ujinga ni vipi ? Mtu anaweza kuitwa mjinga kuanzia umri gani? Mtoto mdogo anaweza kuitwa mjinga?....
 
Ujinga ni kufanya jambo lilelile kwa kutumia njia zile zile huku ukitegemea matokeo tofauti.
 
ujinga ni kuuliza ujinga ni nini, wakati unachouliza ni ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…