Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Ondoa shaka mkuu.... me sipendi kabisa huo ujinga ππNina mashaka kidogo kama umeukataa au umeueneza ujinga, kwasababu harusi unaweza kukwepa kwenye maisha yako lakini si kifo, wote tuko njia moja, kutangulia umri siyo kutangulia kufa
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaNami nikajaribu kumwambia mzee m1 hivi msibani alinitia mkwaju nikaangukia kaburini
sikuigi tena