jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,645
Ujinga ni kufikiri kama huna kichwaujinga ni kudhani kuna watu watakuunga mkono kwa kuandika ujinga wako
We mtu we!! really u a GTujinga ni kudhani kuna watu watakuunga mkono kwa kuandika ujinga wako
Ujinga ni kudhani Mungu anasema watu wafe kwa ujinga waoUjinga ni kusema Tanzania ni nchi ya amani ila watu wanakufa kila siku.
.kwani we ni mungu aliewapa uhai
Ujinga ni kuzani kila mzungu anahela (pesa)Ujinga ni kudhani kwamba kila anayuza duka ni mangi(mchaga)
Ujinga ni kuoa mke kwa kuangalia kigezo cha churaaUjinga ni BINTI KUFUTA NAMBA YA HAWARA YAKE KWA HASIRA WAKATI ANAYO KICHWANI
Watu wamezoea Kuponda tu lkn uliyosema mengi hayanavubaya na zaidi ni elimu tosha kwa wengine mfano in kweli watu wengi hujua kua Waarabu wote ni waislamu..kumbe kuna nchi nyingine za kiarabu wakristo ni hata zaidi ya waislamu..Kuna Hali ya mkanganyiko wa kutotaka kufikiri vizuri au kuchambua!! TENA wakati mwingine ni kujitoa tu akili ilihali ukweli unajulikana na huu upo dunia kote!!
Haya ni MAMBO YANAYODHIHIRISHA HILO
Ujinga ni kudhani "TANZANIA NI NCHI YA AMANI WAKATI WATU WANAKUFA KILA SIKU "
Ujinga ni Kudhani "KILA MWARABU MUISLAM"
Ujinga ni Kudhani "KILA KIZURI KIMETOKA KWA MZUNGU"
Ujinga ni kudhani "VYA MCHINA FEKI"
Uinga ni kudhani" KILA MWANA CCM NI FISADI"
Ujinga ni kudhani"UMASIKINI WETU UTATATULIWA KWA MISAADA"
Ujinga ni Kudhani "WATUMIAJI WA SOCIAL MEDIA HAWANA KAZI ZA MAANA"
ONGEZA UJINGA MWINGINE ULIOPO
Ujinga ni "
ππ Vijana Wa JOTO CITY HAOUjinga ni kuoa mke kwa kuangalia kigezo cha churaa
Ukimaanisha wanaume wa darππ Vijana Wa JOTO CITY HAO
Sijaona point yako mkuu!!Ujinga ni kusema Tanzania ni nchi ya amani ila watu wanakufa kila siku.
.kwani we ni mungu aliewapa uhai
Ujinga ni kushindwa kuona ujinga ulio nao Kafka madaujinga ni kudhani kuna watu watakuunga mkono kwa kuandika ujinga wako