Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Wateja wa baa za Tabata ni kama flying gees! Ukiona leo wamejaa kwenye baa flani, kesho ikafunguliwa baa mpya kali, wanahama woote na kujaa huko... Ikifunguliwa tena nyingine wanahama huko na kujaa kule kupya... Yani usije ukafungua baa pande hizo na kutegemea kuwa na customer base ya uhakika.