Ujinga wa Baa za Tabata

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,728
Wateja wa baa za Tabata ni kama flying gees! Ukiona leo wamejaa kwenye baa flani, kesho ikafunguliwa baa mpya kali, wanahama woote na kujaa huko... Ikifunguliwa tena nyingine wanahama huko na kujaa kule kupya... Yani usije ukafungua baa pande hizo na kutegemea kuwa na customer base ya uhakika.
 
Nambie wamefungua wapi mpya nihame kwetu pazuri hii ndo tabata ya wala bata kama ulikuwa hujui unazoeleka baa moja km unefunga nayo ndoa wakati pesa yako lazima uwe huru
 
Nambie wamefungua wapi mpya nihame kwetu pazuri hii ndo tabata ya wala bata kama ulikuwa hujui unazoeleka baa moja km unefunga nayo ndoa wakati pesa yako lazima uwe huru

Koppa Kabana!
 
Kitu freshazzzz arenaa uwiiiii ni shidaaaah
 
mkuu hiyo sio Tabata tu, changamoto ya biashara ya baa ndio hiyo, na tabia za wateja wa bia karibu tz nzima ni sawa tu. Wengi wao wanakuja kuangalia MIZIGO, msemo wa shehe kipozeo, wakishailamba yote wanahamia kwingine tena kwenye wageni. hivyo ukiwa utanataka kuingia kwenye biashara hii lazima hili ulijue mapema, japo kuna wengine huwa wana weza kume ntain hiyo status ila ni wachache sana.
 
Watatuua na hizi baa zao kesho nipo hapo asante
 
sasa mleta mada ulikuwa hulijui hilo...sio tabata tu kote nchi nzima watu wanakuja kucheki una kipi kpya na wanakuja kucheki mizigo ..ukitaka kumantain baa yako badilisha wahudumu mara kwa mara lete totoz mpya utaona kama utakaukiwa na wateja ...wanywaji wakishapitia karb wahudumu wote wanahama..ndio mana unaweza kuta ka grosary hakakosi wateja angalia anaehudumia yukoje utajua kwanini wateja wanajazana hapo......au fungua bar halafu lete mizigo ya ovyo utaona watu wamekuja siku ya kwanza halafu huwaoni tena ... biashara ya baa ina changamoto nyingi sana
 
mm nimkazi wa tbt najua kwanini hatuulii baa moja sisi tunafata kujuana sana

tabata watu na watu wao bana john mangi kakaa wapi beatusi jeee yupo kweli au papaa msafi ila baa imala tabata ni wallet tuu hata ufanye nini lazima uje tuuu
 
Hiyo biashara waachie Warombo mkuu, yule jamaa Mfojo kule Segerea, nasikia alianza nyodo wateja wamepukutika wote.
 
Du!
We mkuu kweli una uxoefu na mabaamedi, watumia kinga lakini!
 

Watu wengi wanaokomalia bar wanajaribu kutengeneza ushirikiano wa kukopa kwa kivuli cha mteja mkubwa wa bar
 
Ni kawaida ya binadamu kupenda vitu vipya, hivyo hilo jambo halikwepeki, lakini kuna baa ambazo miaka neda rudi zenyewe zinapeta tu wanaweza kujifunza jambo huko kama vile pale Barakuda, Nderingo, Mawenzi, Nyantare, Georgina na nyinginezo kwa upande wa Tabata.
 
Watu wengi wanaokomalia bar wanajaribu kutengeneza ushirikiano wa kukopa kwa kivuli cha mteja mkubwa wa bar

Ndoo ukwelii uliopooo mm na bar zangu kama sita iviii apo tabata ata niende sina kumi nakunywa bili mwisho wa mwezi kujenga jina bar kuna raha yakee bwanaaa pia bar au pab yenye barmeid wa kizee nikienda siku moja sirudi
 

Ndio maana mimi pale kwenye pub yangu huwa nabadilisha MIZIGO kila miezi minne na watu hawahami kirahisi!!!...ni rotation ya Singida ,Mbulu ,Manyoni ,Manyara,Tanga na Bukoba...karibuni
 
MIMI NAKAA TABATA LAKINI SIACHI KWENDA GALAPO CLUB MASAI RAHA ZAKE NAWEKA kibindoni ni shangwe tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…