Mabaunsa ndio wenye funguo? Unaweza ukaprove walikuwa mabaunsa wa Yanga?Hamjampa meneja wa uwanja taarifa, yy ndiye mwenye funguo sasa mlitegemea muingie vipi? Halafu meneja sio mwajiliwa wa TFF, bali serikali ndiye mwajili wako na jumamosi siku yake ya off, sasa mnakuja hamjampa taarifa, mlitegemea afanye nini na taarifa hamjampa?Simba walipoenda kufanya mazoezi,walikutana na watu waluojulikana kama mabaunsa.
Walitoa taarifa ya malalamiko yao siku ile ile.
Bodi ya ligi walikuwepo na walipaswa kupitia mwakilishi wao kutoa taarifa polisi ili wale wahuni wakamatwe.
Huenda walitoa taarifa polisi na huenda kwa sababu polisi nao ni mashabiki labda hawakuwakamata wale watu badala yake waliwasaidia kuwazuia Simba wasiingie uwanjani.
Katika hali ya kawaida huwezi kuacha uhalifu ufanyike kwa vile eti kuna adhabu iliyotamkwa kuuadhibu uhalifu huo.
Ni sawa unaona mtu mzima anabaka,halafu mbakaji anadai aachwe aendelee kufanya kitendo kile kwa vile sheria inasema atafungwa miaka 30,hivyo aadhibiwe tu kwa sheria iliyopo.
Hawa mabaunsa walikuwa wahalifu na walifanya vitendo vya ugaidi sio tu kuwazuia Simba kufanya mazoezi.
Iwapo Simba wangewaita mashabiki wao waje kuwasaidia kwa kuwa polisi wameshindwa kuwasaidia unadhani nini kingetokea?
Au mlitaka hadi mtu auwawe ndio mjue kulikuwa na tishio la amani?
Suluhisho: Mechi ichezwe lakini kila mtu amepata somo la kujifunza hasa kwenye kuepuka kuendekeza uhuni kwenye soka kama ule uliofanywa na mabaunsa wa yanga
Mechi itachezwa vipi wakati moja ya madai ya Simba ni kwamba hawatacheza mpka waliosababisha mchezo kuvunjika wawajibishwe? kama yaliyo wakimbiza tarehe 8 bado yapo tuna uhakika gani tarehe 15 mabaunsa hawatakuwepo?Simba walipoenda kufanya mazoezi,walikutana na watu waluojulikana kama mabaunsa.
Walitoa taarifa ya malalamiko yao siku ile ile.
Bodi ya ligi walikuwepo na walipaswa kupitia mwakilishi wao kutoa taarifa polisi ili wale wahuni wakamatwe.
Huenda walitoa taarifa polisi na huenda kwa sababu polisi nao ni mashabiki labda hawakuwakamata wale watu badala yake waliwasaidia kuwazuia Simba wasiingie uwanjani.
Katika hali ya kawaida huwezi kuacha uhalifu ufanyike kwa vile eti kuna adhabu iliyotamkwa kuuadhibu uhalifu huo.
Ni sawa unaona mtu mzima anabaka,halafu mbakaji anadai aachwe aendelee kufanya kitendo kile kwa vile sheria inasema atafungwa miaka 30,hivyo aadhibiwe tu kwa sheria iliyopo.
Hawa mabaunsa walikuwa wahalifu na walifanya vitendo vya ugaidi sio tu kuwazuia Simba kufanya mazoezi.
Iwapo Simba wangewaita mashabiki wao waje kuwasaidia kwa kuwa polisi wameshindwa kuwasaidia unadhani nini kingetokea?
Au mlitaka hadi mtu auwawe ndio mjue kulikuwa na tishio la amani?
Suluhisho: Mechi ichezwe lakini kila mtu amepata somo la kujifunza hasa kwenye kuepuka kuendekeza uhuni kwenye soka kama ule uliofanywa na mabaunsa wa yanga
Sigara kali."MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
Unamaanisha Simba haikuzuiwa kuingia uwanjani?Walichokifanya simba ni sinema tu. Waliona derby imekuja wakati mbaya kwao wakatengeneza sinema ili wakimbie mechi. Hizo zingine ni blah blah tu.
Wasiwasi wangu ni endapo na timu zingine zikaanza kutumia janja janja kama hizi. Je watapewa favor yankusogezwa game mbele kama waliyopewa simba? Kama jibu ni ndio, je tutakua ma ligi ya aina gani?.
Ni matumaini yangu mashabiki wa simba mtaziunga mkono timu zingine ambazo zitatumia loopholes za kikanini kukimbia mechi uko mbeleni
Hizi ni hisia za kitoto sana.Walichokifanya simba ni sinema tu. Waliona derby imekuja wakati mbaya kwao wakatengeneza sinema ili wakimbie mechi. Hizo zingine ni blah blah tu.
Wasiwasi wangu ni endapo na timu zingine zikaanza kutumia janja janja kama hizi. Je watapewa favor yankusogezwa game mbele kama waliyopewa simba? Kama jibu ni ndio, je tutakua ma ligi ya aina gani?.
Ni matumaini yangu mashabiki wa simba mtaziunga mkono timu zingine ambazo zitatumia loopholes za kikanini kukimbia mechi uko mbeleni
Waliandaa sinema iwe hivyo. Uwanja una management yake haiwezekani uende tu kwa kushtukiza bila kutoa taarifa.Unamaanisha Simba haikuzuiwa kuingia uwanjani?
Rage hakukoseaHizi ni hisia za kitoto sana.
Kwa kiasi kikubwa mashabiki wa yanga huwa hamtumii akili bali huwa mnaishi kwa hisia na matendo yenu mengi hayatumii akili bali hisia ndio maana mlipeleka mashitaka CAS jambo ambalo hata mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa diploma ya sheria hawezi kulifanya
TOPOLO bwana! Mtake, msitake, MTACHEZA tu!Mechi itachezwa vipi wakati moja ya madai ya Simba ni kwamba hawatacheza mpka waliosababisha mchezo kuvunjika wawajibishwe? kama yaliyo wakimbiza tarehe 8 bado yapo tuna uhakika gani tarehe 15 mabaunsa hawatakuwepo?
Kwamba Simba iliandaa mpango halafu ikakaa pembeni inaangalia mipango yao inavyotesa watu sio?Waliandaa sinema iwe hivyo. Uwanja una management yake haiwezekani uende tu kwa kushtukiza bila kutoa taarifa.
Hata hivyo, haiwezekani kushindwa kucheza mechi kwa kukosa kufanya mazoezi ya nusu saa siku moja kabla ya mechi.
Suala la timu iliyopo ugenini kufanya mazoezi katika uwanja utakaotumika kucheza mechi lipo kidiplpmasia zaidi, kwamba wapate tu nafasi ya kuondoa uwoga wa ugenini. Lakini suala la mazoezi ya kimbinu na maandalizi kwa ajiri mechi timu inafanya kwenye uwanja wake rasmi wa mazoezi.
Na kama kulikua na tishio la usalama taarifa ilitakiwa kutolewa na polisi na document za kiofisi kusambazwa kwa timu zote.
Simba walitengeneza tu sinema kukimbia mechi. Kile kipindi walikua nanmajeruhi ya wachezaji muhimu, yanga alikua form na kulikua na mechi dhidi ya almasry mbele yao. Ni dhahiri ile derby simba angefungwa na kusingekua na mshikamano kuelekea mechi yao ya CAFCC, viongozi wakaona watafute sababu ya kukimbia derby
Bodi ya ligi walifanya kosa kuubeba msalaba wa simba, kwa sasa hawawezi tena kuiadibu simba. Wamebakiwa na options tatu. Bodi ijiudhuru, ifanye ubabe au iibebeshe yanga msalaba(wa makosa ya bodi na simba). Tusubiri kuona msimamo wa yanga utaishia wapiKwamba Simba iliandaa mpango halafu ikakaa pembeni inaangalia mipango yao inavyotesa watu sio?
Umeandika kitu cha maana Sana Cashman. Hakuna wa kulaumiwa zaidi ya hao Wahuni wa Bodi ya ligi.Simba walipoenda kufanya mazoezi,walikutana na watu waluojulikana kama mabaunsa.
Walitoa taarifa ya malalamiko yao siku ile ile.
Bodi ya ligi walikuwepo na walipaswa kupitia mwakilishi wao kutoa taarifa polisi ili wale wahuni wakamatwe.
Huenda walitoa taarifa polisi na huenda kwa sababu polisi nao ni mashabiki labda hawakuwakamata wale watu badala yake waliwasaidia kuwazuia Simba wasiingie uwanjani.
Katika hali ya kawaida huwezi kuacha uhalifu ufanyike kwa vile eti kuna adhabu iliyotamkwa kuuadhibu uhalifu huo.
Ni sawa unaona mtu mzima anabaka,halafu mbakaji anadai aachwe aendelee kufanya kitendo kile kwa vile sheria inasema atafungwa miaka 30,hivyo aadhibiwe tu kwa sheria iliyopo.
Hawa mabaunsa walikuwa wahalifu na walifanya vitendo vya ugaidi sio tu kuwazuia Simba kufanya mazoezi.
Iwapo Simba wangewaita mashabiki wao waje kuwasaidia kwa kuwa polisi wameshindwa kuwasaidia unadhani nini kingetokea?
Au mlitaka hadi mtu auwawe ndio mjue kulikuwa na tishio la amani?
Suluhisho: Mechi ichezwe lakini kila mtu amepata somo la kujifunza hasa kwenye kuepuka kuendekeza uhuni kwenye soka kama ule uliofanywa na mabaunsa wa yanga
Kabisa, pia Yanga haina msimamo ambao mwisho wake utakuwa na maslahi kwake zaidi ya kukaa meza moja na bodi ya ligi, kusema watakaza ili wakatwe point ni hasara kuliko kucheza hiyo mechi, unless CAS au FIFA waamue kuingilia.Bodi ya ligi walifanya kosa kuubeba msalaba wa simba, kwa sasa hawawezi tena kuiadibu simba. Wamebakiwa na options tatu. Bodi ijiudhuru, ifanye ubabe au iibebeshe yanga msalaba(wa makosa ya bodi na simba). Tusubiri kuona msimamo wa yanga utaishia wapi