Ujinga wa mtanzania (?)


Kweli kabisa mkuu Kituko, huu ni ufisadi na unaweza kutokea tu katika Shirika , kampunu ya UMMA.
Mbona hatusikiimambo kama haya kutokea Aga Khan ,Hindu Mandal, Burhani au hospitali nyingine binafsi.
Huu ni ugonjwa wa vitu vya umma , havina mwenyewe, wa kujichukulia mapema haya.
Sikubaliani kuwa hawa watu hwana akili, ila mwenye akili zaidi ni yule liye watime kuchukua kitu hicho.
Kwenye kampuni binafsi everybody is smart.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…