kweli huwajui!hivi clouds media ni kama royal media service au ni station ya redio tu?...siwajui hawa mmi
matusi ya nini....nmeuliza tu kwa sababu ni kweli siwajui.niwajulie wapi sasa!!!! haya nijiibu,ni kama royal media yenye ina comprise citizen tv,citizen radio,bahari fm,ramogi fm nk au iko vipivipi??Pumbavu kweli huwajui!
Subiria watie timu hapo utawajua
Hahaha sio wa mchezo mchezo hao
wee jama kweli moto chiniPumbavu kweli huwajui!
Subiria watie timu hapo utawajua
Hahaha sio wa mchezo mchezo hao
very unnecessary...🙁🙁🙁😡😡😡 by the way hata mie ndio mara yangu ya kwanza kuwaskia cloudes media...punguza matusi ndugu...Pumbavu kweli huwajui!
Subiria watie timu hapo utawajua
Hahaha sio wa mchezo mchezo hao
Ni royal media service, wana own Clouds FM, Clouds TV, Coconut FM na TV station nyingine wamefungua Dubai (kama sijakosea)... Pia wana companies za promotion/advertising kama Prime Time Promotion na projects kama Tanzania House Talent (THT), Fiesta etc...hivi clouds media ni kama royal media service au ni station ya redio tu?...siwajui hawa mmi
royal media moja tu mkuu?Ni royal media service, wana own Clouds FM, Clouds TV, Coconut FM na TV station nyingine wamefungua Dubai (kama sijakosea)... Pia wana companies za promotion/advertising kama Prime Time Promotion na projects kama Tanzania House Talent (THT), Fiesta etc...
Kwa kifupi ni hivyo...
Hapo umesahau Choice FmNi royal media service, wana own Clouds FM, Clouds TV, Coconut FM na TV station nyingine wamefungua Dubai (kama sijakosea)... Pia wana companies za promotion/advertising kama Prime Time Promotion na projects kama Tanzania House Talent (THT), Fiesta etc...
Kwa kifupi ni hivyo...
Na clouds Rwanda ni yao?Ni royal media service, wana own Clouds FM, Clouds TV, Coconut FM na TV station nyingine wamefungua Dubai (kama sijakosea)... Pia wana companies za promotion/advertising kama Prime Time Promotion na projects kama Tanzania House Talent (THT), Fiesta etc...
Kwa kifupi ni hivyo...
Kwa nini? Tuna IPP Media wana ITV, EATV, Capital TV, Radio One, East Africa radio, Capital Radio etc...royal media moja tu mkuu?
Sina uhakika, ndiyo kwanza nasikia kwako...Na clouds Rwanda ni yao?
Okay, nilisahau jina nikaogopa kuandika. Thanks...Hapo umesahau Choice Fm
Kama una azam dish waeza ionaSina uhakika, ndiyo kwanza nasikia kwako...
hujanipata...nimeuliza royal media ile naijua...Kwa nini? Tuna IPP Media wana ITV, EATV, Capital TV, Radio One, East Africa radio, Capital Radio etc...
Kuna Africa Media Group Group wana CTN, Channel Ten, DTV, C2C, Magic Radio etc...
Kuna Tumaini Media wana Tumaini TV, Radio Tumaini, Radio Maria (nadhani kuna nyingine nimesahau jina) etc...
Kuna Tanzania Broadcasting Corporation wana TBC1, TBC2, TBC FM, TBC Taifa etc...
Hizo ndiyo nilizokumbuka...
Ooh, I'm sorry! Kweli nilikuwa sijakupata...hujanipata...nimeuliza royal media ile naijua...
Sijaelewa,yaani Royal Media(Kenya) wanamiliki Clouds Media Group(Tanzania)?.Ni royal media service, wana own Clouds FM, Clouds TV, Coconut FM na TV station nyingine wamefungua Dubai (kama sijakosea)... Pia wana companies za promotion/advertising kama Prime Time Promotion na projects kama Tanzania House Talent (THT), Fiesta etc...
Kwa kifupi ni hivyo...
Waje tu ila Kenya huwa kuna ushindani sana kwenye media, lakini nina uhakika watapata ushabiki haswa pale Pwani. Na hawatavamiwa na mapolisi kama anavyowanyaga Makonda pale Bongo.
Kuna huyu mdada hunitia wazimu kila nikimtazama kwenye kipindi chao cha asubuhi wakati nikiwa Bongo, halafu yuko freshi hata Kingereza.
Nina uhakika fisi mwezangu 1academ keshatia timu kula kwa macho kwake