Unafiki sasa umevuka viwango yaani ukikubali kitu cha nje ya nchi unaitwa si mzalendo, wengi wanamkubali ila team zinawaumiza wanajipofusha, wimbo mkali haswa.Ule wimbo ni mkali kinoma sema hapa wanafiki ni wengi sana mkuu
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru.Tecno ndo nan
Everythn kafany teknobye kaingza sauti tu....tekno c wa mchzmchz k mnavydhn n producer way back kabla y kuimba na hnaa jealous kampa shavu davido baada ya kuona kapotea
Kwani hujui kusomaTecno ndo nan
'Fall on you' we msukumamoney follow u, banana follow u, paparazzi follow u......jamaa ni fundi
Amerudi vizuri sana.Nimetoka kuuangalia huu wimbo sasa hivi, kweli jamaa ni shida, mashairi beat yaani mwake kabisa bonge la ngoma..halafu mpaka ujue ni davido baadae sana..sio ile beat ikipigwa tu unajua fulani wimbo mkali sana.
NdondiKwahiyo wewe ulikuwa unatakaje kwa mfano
Ni ile anaimba kama anajifunza kuongea au...Fall ni hatar leo nimeitazama mara nane nane