Ujio mpya wa stereo(singasinga) ndani ya WCB

Ila Jana kingzillah kaniboa sana huwez kumuita malaika Nikki wack
 
Uwezo wake wa kutunga umeisha kubadilisha kazi za watu ambao wameshatunga na kutoka na kusema wametunga? Ukifuatilia kiutaalamu huo wimbo wake melody pamaja na beat ni mutatis mutandis na huu wimbo
 
Mapato ni:

1. "Shows

2. YouTube

3. Kuuza Nyimbo mitandaoni

4. Endorsement kama Mungu akijaalia
 
big up nimewahi sikia mond akisema anamkubali sana stereo Msodoki na Fid kiukweli wako poa
 
Eh eh dogo banker?Naona anapost IG yake sana equity bank
Huyu jamaa ataacha na kazi benki sasa
 
Unaelewaje hapa?
Nimeelewa kuwa Diamond anampenda Stereo na amempa platform ya kurecord wasafi studio kama ambavyo alifanya kwa dully Sykes Q Chillah Yamoto band Ray C na wengine na haina maana kuwa kamsign
 
Nimeelewa kuwa Diamond anampenda Stereo na amempa platform ya kurecord wasafi studio kama ambavyo alifanya kwa dully Sykes Q Chillah Yamoto band Ray C na wengine na haina maana kuwa kamsign
Kwa hiyo jamaa amepewa platform ya kurecord wasafi kufanyiwa video na wasafi na promo kufanyiwa na wasafi halafu hakuna kitu kati yao?
 
Kwa hiyo jamaa amepewa platform ya kurecord wasafi kufanyiwa video na wasafi na promo kufanyiwa na wasafi halafu hakuna kitu kati yao?
Yeah same to Dully Sykes ile "INDE" ili 'rekodiwa' na Wasafi Studio ikafanyiwa video kwa gharama za Wasafi na hata promo,interview booking zote zilikuwa zinagharamiwa na management ya Wasafi but nothing kilikua kinaendelea kati ya Dully na Wasafi ni love tu ya Diamond kwa wasanii anaowakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…