jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Yap yupo equity bank alinifungulia accEh eh dogo banker?Naona anapost IG yake sana equity bank
mkuu WCB ni kiwanda cha chorus,cngacnga kwenye ghani ni nooooma lazima atusueStereo bila one Incredible mambo yataenda kweli? Yangu mie macho na masikio tu!
Hapo ndipo utakubari kuwa hakuna mkate mgumu mbele ya chai na adui muombee njaaaDah wana wanazidi kupungua tu kwenye midundo yetu ya duke
Mbona juzi wakati wanahojiwa na mavoko wote walisema jamaa hayuko WCB ila.alienda pale kumshuru diamond ndio wkamwambia studio hiyo hapo chagua kati ya harmo ray na mavoko ufanye nyimbo ndio wakaanda hiko kitu na mavoko but hajajiunga na wcb labda baadae baada ya kuona hii nyimbo imehitYupo WCB aseeh. Na hiyo ni track yake ya kwanza kafanya poa
vi trip vya nje vitafanya aacheHuyu jamaa ataacha na kazi benki sasa
Ataacha na kufukuzia bikravi trip vya nje vitafanya aache