Ujio wa Chama Mateso yamerudi mjiande

Huyo chama ana madhara gani kwa Yanga? Mechi ambazo tunakutana na nyie tunawakalisha pamoja na uwepo wake.

Au atatumika kuchezea timu zote zitakazokutana na Yanga? Yanga akikaza mechi zake zote akashinda huyo chama anawezaje kuzuia ubingwa kwa Yanga?

Ni mjinga pekee ataamini kwamba chama ataizuia yanga kubeba ubingwa ilihali mechi zote anakalishwa na yeue akiwemi.
 
4-1
 
Simba haija msajili Chama sababu ya kuifunga Yanga bali makombe...

na hapo ndipo Uto wanapofeli yaani wanasajili sababu yakuifunga Simba
 
Us
Usiwajibu wajinga kwani wakati yupo alikuwa anafanya nini mbona walikuwa wanagongeshwa na chama wao, labda atazisumbua timu nyingine but sio yanga, Kama alishindwa kipindi kile yanga ikiwa hoi aje awezi leo ikiwa na mafundi pale katikati mtamkataa wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…