Ujio wa Gwajima.. Je ni ufufuko wa SKMG?

Ukimtazama Gwajima kwa Jicho la kiroho, unaona yale yaliyotabiriwa yanaenda kutimia, ni kwa namna gani!? Hili ni fumbo fiche sana!

Yatatokea kwa njia isiyotarajiwa kabisa na macho ya wengi.

Mtoto wa siku nne kuongea na kutuma ujumbe kwa raisi, kisha kunyamaza kimya! Msilichukulie hili swala kirahisi!

Liko kiroho zaidi!...

Kilio chetu kimefika mbele ya mwana wa Adam! Aketiye mahala pa juu pa utukufu mwingi.
 
Team HAKI inaanza kujaa hata SKG wanakalibishwa lakini say NO to Tribalism.

Kwako Mpina.
 
Wewe unaumwa political myopia. Umesahau ya 2015? Gwajima na chadomo? Nini kilitokea?
 
Tunasikilizia!!!
 
Absolutely, YES...

He was completely unaware what pushed him to shout in a loud and unrhythmical voice like a drunkard hooligan wandering on the roadside...!
Hysterical shouts...🤔🥺
 
Wewe ni Mjinga
 
Bahati mbaya sana ni kua hao wote hawakubariki kana ya ziwa, bora wasira huo biteko ndo hana ushawishi kabisa
 
Gwajima ubunge ilikuwa njia ya kuingia kwenye mfumo na kuuelewa na sio level yake. N kwa taarifa tu 2025 hatagombea ubunge na hana mpango.
 
Samahani mkuu,kwa hiyo kumbe mnapiga watu?kwa hiyo mtu akikemea mauji yanayoendelea nchini nayeye mnamuweka kwenye list yenu ya watu mtakaowazuru?
 
Siasa za ccm hizo... Pili pili wanapenda kuzipaka ladha ya pipi kwenye ganda la nje!
Jichanganye muone! Utasikia wanajinasibu ushindi wa kimbunga!
 
Mkuu kwa upepo ulivyo kwenye another world jamaa ameshapita hiyo level ya ubunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…