Ujio wa kocha Benchikha ni hasara kama usajili wa Onana

Ujio wa kocha Benchikha ni hasara kama usajili wa Onana

baba aura

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2023
Posts
254
Reaction score
393
Wakuu ukweli usemwe hata kama ni mnazi wa club husika, Kwa usajili wa kocha Benchikha kuja Simba naona ni hasara au kutumia pesa vibaya japo in anyway sihusiki kumlipa

Hakika hii ni hasara kubwa kabisa ngoja tuone
 
Wakuu ukweli usemwe hata kama ni mnazi wa club husika, Kwa usajili wa kocha Benchikha Simba naona ni hasara au kutumia pesa vibaya japo in anyway sihusiki kumlipa

Hakika hii ni hasara kubwa kabisa ngoja tuone
Umekwenda kwa sangoma ndiyo akakupa majibu hayo au umetumia sayansi ya Takwimu? Acheni ujinga na kuanzisha nyuzi za HOVYO
 
Hebu tuwe watu wazima jamani sio kila linalopita kichwani unalirusha humu...muda mwingine tumia akili uheshimike..
Ungefafanua hasara kwny maeneo yapi?
 
Huyu mtoa uzi ana akili timamu kweli??wakati Mwingine tuchambue mambo kwa weredi jamani sio kiutopolotopolo ama kimakolokolo
 
Hebu tuwe watu wazima jamani sio kila linalopita kichwani unalirusha humu...muda mwingine tumia akili uheshimike..
Ungefafanua hasara kwny maeneo yapi?
Naunga mkono hoja. Utoto umezidi Sana humu. Hoja kama watoto wa chekechea?
 
Sawa Mtabiri wa Nyota.

TUMEKUSIKIA NA TUMEKUELEWA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Unakunywa gongo imekupanda kichwani unakuja kuandika pumba huku🤔🤔 hovyo kabisa
 
Watu wengine Ni wa kupuuza tu hakuna haja ya kuhangaika nao.
 
Back
Top Bottom