Ujio wa Mama Mkwe - Sasa twazila Hela za Wife

Mkuu, mwenzio anahakikisha mama yake anakuja kufaidi mema ya mjini...

Ukitaka kujua kama wife wako ni mbaguzi, nawe mlete mama yako baada ya mama yake kurejea.

Akiendelea hivyo njoo unitukane
 
Kwani wewe umemzaa? Tulia
 
Mahi nikajua unaijua 😹😹
Tuliozoea Twitter tunaijua hii kitambo..!!
Kumbe ndiomana sikukuona hukuwa na vpn 😹
Yani ni kama bahati tu,, kuna kavideo kautamu nimekapenda si ndo kuidanlod vpn,, sasa jioni hii nimechill home kuna jambo nimeuliza ikaniletea page ya jf, mara naona kanotification box kama wekundu nikaruka kuwa mbuzi za kijani zimefungulia jf nini!!! Lakini kuingia ni kumepoooooa ndipo kukumbuka bwana vpn yupo on tangu asubuhi,,
 
Ulikua unacheck chudai 😹😹😹

Sisi tupo km siku zote, wengi hawajui km ukiwa na vpn unazama JF km kawaida..!!
 
Lengo ulitaka umma ujue kuwa una ndinga au ni nini?
 
Hili swala la kusema tutafute pesa au hela, kuna ambaye hajui kuwa anatakiwa kutafuta pesa mpaka akumbushwe? Kama wewe umejipata shukuru Mungu wengine hatujui sehemu ya kuzitafutia japo tunazitamani sana
Pole Mkuu,
Hata mimi ni Mapambano tu, Mungu atakufungulia njia siku moja, usife Moyo
 
Mkuu usijidanganye haupo kwenye ndoa upo kwenye partnership tu hiyo. Ndoa hazipo hivyo subiri siku upatwe na stroke uone kama hautaachwa na mavi kitandani.
Hahahahahaha
 
Kajishtukia huyo, kwao ndo mfano Bora itakuwa.Kaamua aendeleze mfano wa kuigwa ila balaa unalijua ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…