Ujio wa Mama Mkwe - Sasa twazila Hela za Wife

huu ni uongo wanawake wabaya sana ninyi mkiwa kwenye relationship kabla ya ku-engage kwenye ndoa ndio huwa maneno yenu wabaya sana ninyi
Mimi sipo hivyo tukishakuwa mwili mmoja lazima kila kitu chetu tufanye pamoja kwaajili ya familia yetu sina huo ubinafsi na roho mbaya ya kipuuzi
 
Stuka wewe mkeo anataka muaminisha mama yake kuwa ameoa ajaolewa so yeye anakulea so yeye ndio kila kitu umo ndani wewe cheka cheka tu
 
MBona unaonekana una tabia za kiyahaya ?

Ipo siku mkewe akikupa style mpya utakuja kuwasimulia wana jf. Kalaghabhao
 
Mkuu usijidanganye haupo kwenye ndoa upo kwenye partnership tu hiyo. Ndoa hazipo hivyo subiri siku upatwe na stroke uone kama hautaachwa na mavi kitandani.
Umeandika ujumbe mzito sana hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…