Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Heshima sana wanajamvi.
Mchg Msigwa kahamia CCM baada ya kushindwa nafasi ya Mwenyekiti wa Kanda na Mh Sugu.
Mchg Msigwa kaenda CCM baada ya kushindwa na kukubali kushindwa,lakini siku mbili baada ya kutoa pongezi kubwa kwa Mh Sugu alianza kubwabwaja na kutoa shutuma dhidi ya uongozi pasipo ushahidi wa maana.
Mchg Msigwa kaenda CCM kwakuwa kakisa uongozi,huyu ni aina ya binadamu anayeamini bila uongozi hakuna maisha.
Kupokelewa na uongozi wa juu wa CCM ni ishara kuwa CCM wamekata pumzi kwakuwa aina ya mtu wanayempokea kakataliwa ndani ya chama alichotoka.
Ngongo kwasasa Kyembe samaki.