ujio wa mwanaharakti wa kweli peopleessss!!!!!

activisty

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
315
Reaction score
107
mambo vipi wadau wote,makamanda kazi inaendeleeaaa!!!2gether ladies and gentlemen
 
Acha mbwembwe wewe toka lini mwanaharakati anajisifia?ok krb sana...
 
Mandingo ni utambulisho tu wa si kujisifu kwani kwa hoja thabiti za utetezi wa haki za binadamu bila kujali itikadi naamini mwenyewe utanita mwanaharakati
 
Last edited by a moderator:
king kong 111 tuko pamoja kamanda, namini si kwa zitto tu bali wote wenye chemichemi za unafiki wakati wa kuwabadilisha umefika
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…