Ujio wa Rais wa FIFA nchini Tanzania ni Fursa , waandishi muulizeni maswali yote kuhusu uanachama wa Zanzibar

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Natoa wito kwa waandishi wote makini wa michezo kutumia ujio wa MaRais wa CAF na FIFA kujua ukweli na hatima ya uanachama wa Zanzibar kwenye vyama hivyo .

Mpuuzeni Rais wa TFF na propaganda zake , hawa wawili ndio wenye majibu halisi , na hawa ndio watakaotutajia aliyesababisha Zanzibar inyang'anywe uanachama wa CAF ambao tayari ilishapewa .

Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa Zanzibar .
 
Usije kuta waandishi wetu wakamuuliza huyo Rais wa FIFA: What is your first name???
 
Natoa wito kwa waandishi wote makini wa michezo kutumia ujio wa MaRais wa CAF na FIFA kujua ukweli na hatima ya uanachama wa Zanzibar kwenye vyama hivyo .

Mpuuzeni Rais wa TFF na propaganda zake , hawa wawili ndio wenye majibu halisi , na hawa ndio watakaotutajia aliyesababisha Zanzibar inyang'anywe uanachama wa CAF ambao tayari ilishapewa .

Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa Zanzibar .

Au wamuulize: Which country do you think will lift the world cup in Russia?
 
Back
Top Bottom