Ujio wa Real Madrid nchini August 23

Rockcity native

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
2,174
Reaction score
1,445
Hii kitu imepigwa danadana hadi tumesahau kila mwaka walisema watakuja Tanzania.. Je, bw malinzi unaweza fatilia hii ziara utujuze mpango bado upo au ndo changa la macho real madrid kuja nchini.
 
JK hali tete sasa hivi kuhusu Katiba unadhani ana hamu tena Real M
 
Ndo vipaumbele vya CCM hvyo subirini akumbuke anaweza akawaleta Bayern hvhv
 
nimesikia leo kwenye radio kuwa real madrid wanakuja kucheza na taifa stars mwezi wa 8 . mwenye taarifa zaidi atujuze

 
Ni mwezi huu wa nane timu hizo zitaumana ktk ndimba la taifa chini ya udhamini mnene wa vodacom Tz.
Chanzo// Power breakfast clouds fm
 
macmanaman, morientes, figo heeee! mbona mdogo wangu ambar yuko chuo hawajui hao, ndo madrid gani hiyo? si waseme tu wanakuja eachezaji wa zamani wa madrid? Owen watu watamkumbuka akiwa amevaa suti pale sky sports mweee! ningeshangaa pre season inaisha watu wanaanza ligi halafu eti madrid out of all places waje kusikiliza story za ukawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…