nanukuu......''nimepata taarifa rasmi'' mwisho wa kunukuu......
Mkuu hebu kuwa na ''spesifiki'' japo kwa bahati mbaya inakuwaje umekuja na taarifa rasmi harafu unatakaje tena msaada wa data kamili............???
Hahahhaha.....kila kitu uongo uongo,kuanzia ngazi ya familia hadi taifaBongo watu wana uzushi uzushi mwingi sana. kiko wapi?
Unajua uhusiano wa huu Uzi na Fastjet Tanzania?Bongo watu wana uzushi uzushi mwingi sana. kiko wapi?
Hapana wewe ndiye unayechanganya members hapa jukwaani, haiwezekani uwe na taarifa rasmi halafu unaishia kutuuliza tena...Sio lazima kuchangia kila unachokiona hata kama huna point,utulie wenye data zaidi watachangia!!ushauri wa bure tu
Member wa mwendo kasi....tangu 2012 eti 2016 Sept ndio inajibiwa! Wale wale wa buku 7 ambao sasa wanapewa bando za Mb8! KwishaHapana wewe ndiye unayechanganya members hapa jukwaani, haiwezekani uwe na taarifa rasmi halafu unaishia kutuuliza tena...
Wana JF heshima mbele;
Nimepata taarifa rasmi kuwa kuna shirika kubwa sana la ndege la wazawa wa Tanzania hapa hapa linaanzishwa litakuwa na ndege nyingi zaidi ya Precision (zaidi ya ndege 20)..za uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 75 kila moja...wameanza kuajiri marubani kama 20 hivi na air hostes kama 30.
Mwenye data kamili atujuze;
Nini mustakabali wa ATCL?itaweza kupambana na makampuni binafsi tena ya wazawa wenye nguvu sana na influence serikalini??
Nawasilisha