Ujio wa Tuisila Kisinda Yanga

Song of Solomon

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
2,752
Reaction score
5,609
Wananchiiiiii


Moja ya sajil bora ilofanyika kwa Yanga ni ongezeko la Tuisila Kisinda "Tk Master"

Ishu sio tu kua anarud kwenye timu yake ya zaman, ila pia analijua soka la Bongo kama ilivyokua kwa Chama kurud Simba

Kwa aina ya uchezaj wa Yanga ulivyo hasa wakutumia mawinga na fullbacks kushambulia, Tk master anarud katika utamu wake wa kushambulia kwa kutumia mbio zake

Kucheza Berkane kumemuongezea maarifa zaid hasa kwenye ubunifu katika eneo la mwisho ukilinganisha na alivyokua Yanga...sahv ana utulivu kwenye eneo la cross na kupasia....


Yanga itanufaika saa na Tk master kama ongezeko la quality kwenye kikosi hasa kwenye eneo la mawinga


Morrson, Nkane, Ambundo, Tk master, Moloko hapa Yanga in hazina kubwa sana kwenye kikosi [emoji460][emoji109]
 
Jiulize Kwanza Alipotoka ana Asist Ngapi, Magoli mangapi, Key passes, shuti Heder nk.

"YANGA WENYE AKILI TIMAMU NI WAWILI TU. MZEE KIKWETE NA MZEE MANARA".
Haji Manara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…