Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Siku ya jana tulishuhudia.
Siku maalum ya kuonesha vifaa vipya na vya kisasa vya kurushia matangazo ya mpira. Kutoka Azam tv
sambamba na hilo tukathibitishiwa rasmi matumizi ya VAR kwenye ligi yetu kuanzia msimu ujao wa 2024/2025
hakika hili ni jambo ambalo kwa upande wangu litaenda kuikuza ligi yetu na kuiongezea thamani zaidi na kupunguza malalamiko ambayo yamekuwa yakitokea mara kwa mara kuhusu maamuzi ya waamuzi wetu wanavyochesheza mechi
sasa ni wakati wa kujifunza kwa waamuzi na kuifanya kazi njema ili matengemeo ambayo watanzania wanatamani kuyaona kwenye mpira wetu basi uonekane na tuvike katika viwango vya dunia.
Hiii kwa nchi za Afrika Tanzania nayo itakingia katika nchi za mwanzoni katika matumizi ya VAR.
Soma Pia: VAR kutumika msimu wa 2024/25 ligi kuu ya NBC
Wallace Karia: Msimu huu hakutakuwa na matumizi VAR Ligi Kuu