Kitendo cha kufunga barabara na kuzuia watu kwenda kazini kwa siku mbili za mkutano wa nishati wa viongozi wa Africa kimrdhihirisha ufinyu mkubwa wa miundombinu ya jiji la Dar es Salaam. Ufinyu huu ni hatari kwa ukuaji wa uchumi wetu na usalama wa wakazi wa jiji hilo.
Ni wageni wachache tu pengine hawazidi 1000, lakini imebidi watu walazimishwe kubaki nyumbani na kuacha shughuli zao za kila siku.
Safari za treni zimeathiriwa na mwenendo wa shule umeathiriwa.
Pia imekuwa ni aibu kuona miundombinu ya barabara ikikarabatiwa dakika za mwisho kabisa.
Ni lini tujenga utamaduni wa kupenda kuweka mazingira yetu safi wakati wote bila shinikizo kutoka nje?