Ahaaa yataka moyo ila kuna mashemeji ninoma usomkavu anakwambia naomva tutoke outing namkienda manjonjo na hata akikutana nawatu anawowafaha hupenda kuwatambulisha shemejiye kama mshikaji wake nakukumbatia naufanya hivyo kama utani lakini yeye ujua dhamila ya moyo wake!Hiyo ngumu kumesa aise bwa mkubwa
Afrondezi wengi wanafungua macho nakufunbua mkanda nawala siyo zipu!!
Wenye mpenzi mmoja hawapo tena.Kama wapo ni wagonjwa...si bure!
Unampenzi wako lakini inatoke hapo alipo mpenzi wako unamwona ndugu yake wa kike lakini kimtazamo unamwona wakuchukulika kirahisi kutokana na vitamaa vya vitu vidogo,mara anakwambia shemu simu yangu inasumbua!!ukitupia nyavu inanasa unakuwa unapiga dada official na mdogo mtu kiwizi je wewe unayefanyiwa unajisikiaje??nawewe unayefanya unaanzaje kumtaka mdogo wa mpenzi wako??Je na wewe ukigundua mdogo wako unakula naye sahani moja utajisikiaje??
Jamani hivi vitu vinaumiza sana wana jf ila ndio vinatokea sana majumbani tunamoishi ingawa huwa hatujui. inaumiza sana. Naomba mungu aniepushie kikombe hiki
Wenye mpenzi mmoja hawapo tena.Kama wapo ni wagonjwa...si bure!