kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Simba ndiyo timu pekee ukiwasikiliza kwa maneno unaweza kufikiri labda wao ndiyo mabingwa wa Tanzania na muda wote na wana makombe mengi ya Africa kwa maneno tu.
Yaani huwa hawataki yanga azungumzwe kwenye jambo la kimataifa utasikia wao ni 0.5 hawana lolote.
Ila nataka ni wakumbushe tu mdomo wenu ndo utawaponza sijui baada ya kuona yanga wanapeperusha bendera vizuri ya Tanzania watakuwa na msemo gani ambao watakuwa wanaongeya