Timu y mapolisi hiyo.Simba ndo timu pekee ukiwasikiliza kwa maneno unaweza kufikiri labda wao ndo mabingwa wa Tanzania na mda wote na wana makombe mengi ya africa kwa maneno...
Kuna mwiko.Huko nyuma upo salama kweli
Yanga hatakaa afikie mafanikio ya Simba kimataifa... Haitakaa otokeeSimba ndiyo timu pekee ukiwasikiliza kwa maneno unaweza kufikiri labda wao ndiyo mabingwa wa Tanzania na muda wote na wana makombe mengi ya Africa kwa maneno tu.
Yaani huwa hawataki yanga azungumzwe kwenye jambo la kimataifa utasikia wao ni 0.5 hawana lolote.
Ila nataka ni wakumbushe tu mdomo wenu ndo utawaponza sijui baada ya kuona yanga wanapeperusha bendera vizuri ya Tanzania watakuwa na msemo gani ambao watakuwa wanaongeya