Ujue kwa undani Uwekezaji wa Sunranch Tanzania

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
605
Jisajili hapo juu
Bei ya bata ni Tsh 25000, utapata 1000 kila siku, na mapato ya jumla ni 60000 ( halali kwa siku 60)

Bei ya sungura ni Tsh 75000, utapata Tsh 3100 kila siku, na mapato ya jumla ni 279,000(halali kwa siku 90)

Bei ya mbuni ni 190000, utapata Tsh 7600 kila siku, mapato ya jumla ni Tsh 1,368,000( halali kwa siku 180)

Bei ya mamba ni 500000, utapata Tsh 20000 kila siku, mapato ya jumla ni Tsh 3600000( halali kwa siku 180)

Bei ya ng'ombe ni Tsh 1500000, utapata Tsh 60000 kila siku, mapato ya jumla ni Tsh 12600000( halali kwa siku 210)

Bei ya farasi ni 2900000, utapata Tsh 116000 kila siku, mapato ya jumla ni Tsh 34800000 ( halali kwa siku 300)

Bei ya sika kulungu ni Tsh 68000000, utapata Tsh 280000 kila siku, mapato ya jumla ni Tsh 102200000 ( halali kwa siku 365)

Bei ya bata bukini(goose) ni Tsh 50000, utapata Tsh 2000 kila siku, mapato ya jumla ni Tsh 180000 ( halali kwa siku 90)
Mawasiliano nicheki
 
Watanganyika wengi ni wajinga mtawapata tu.
 
Is this supposed to be a Joke ? Huyo mamba unampeleka wapi ? Najua huwa kuna futures na commodities market ila hata wao sidhani kama wanauza mamba (by the way mamba sio nyara ?)
 
kiongozi nahitaji Mamba Jike na Dume delivery mna fanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…