Ujue mkoa wa Mbeya kwa ufupi

Ila sasa ccm wameua masoko yote ya mchele kwa kufirisi wenye pesa , mpunga wa mwaka jana kyela bado unaliwa na wadudu Mundamba , ujimenye idamba kikoro ? wakati huohuo tunatarajia kuvuna mwingine !

Huo mchele wa Kyela ni fursa ya kupata fedha za kigeni changamkia Bujibuji ; Uarabuni wanaupenda sana, good export crop!
 

Boss msalimie sana Anania mwambie awasalimie vijana wa forest ya zamani jirani zake pale kina Gabriel mwandenuka, mfunde, watoto wa mbogoso, watoto wa kibopile, kina nickson mwambosho wasalimie sana bila kmsahau imma mwenyekiti pale nasikia siku hizi kuna bar inaitwa chaula wasalimie wote hao bila kusahau kina dani mwairubi wape salam
 
Kiukwel jiji la mbeya kwa sasa limezid kuwa bovu sana kuanzia miundombinu ya barabara sio rafiki mpangilio wa jiji ndo mbayaaa balaah yan hadi tushapigwa gape na baadhi ya mikoa kwanza saiv maj yamekua shida msongamano barabaran mkubwa af barabara ndogo hazijitoshelezi naona walitaka kujenga barabara za pemben wameshindwa sijui saiv vumbi limetapakaa tu mjini mbeya
 

Jana nimetua Songwe Airport, kichekesho kikubwa , hakuna Maji Maliwatoni.
 
Umeeleweka ila siyo kwelii kwamba mkoa wa Mbeya ulikuwepo kabla ya uhuru. Mkoa wa Mbeya kabla ya uhuru ilikuwa ni mojawapo ya wilaya zilizokuwa ndani ya Jimbo la Nyanda za juu kusini ambalo makao makuu yake yalikuwa katika mji wa Iringa. Aidha, siyo kweli kwamba mkoa wa Ruvuma ni mojawapo ya mikoa ulio katika kanda ya nyanda za juu Kusini. Usahihi ni kwamba Ruvuma ni mkoa ambao uko kanda ya kusini yenye mikoa ya Mtwara, Ruvuma na Lindi. Kabla ya uhuru Jimbo hili lilitwa Jimbo la Kusini lenye makao makuu yake Lindi lakini mwaka 1953 makao makuu ya Jimbo hilo la kusini yalihamishiwa katika mji wa Mtwara.
 
Asante Sana kwa maboresho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…