Ujue mkoa wa Mbeya kwa ufupi

Z

Una bahatisha, wengine tumezaliwa huko.
Kama uliishi uswahilini sana , jilaumu mwenyewe.
Kukosa chakula ,tena fresh , ni dhambi Mbeya.
Nimesoma iyunga tech boss

Mitaa ya iyunga,iwambi, nzovwe,njelii Hadi mbali kote nimepita mzee

So halafu watu wa mbeya huwa hamkubaligi mbeya ikikosolewa[emoji1] ninayi hio experience coz Nina ndugu kibao wanaishi mbeya nao Ni wabishi Kama wewe tu .

Ukipata vihoteli uchwars vya kule makunguru Hadi isanga na ilemi wapuuzi wanaweza wali Amira [emoji1]

Kataa! Labda Kama wamebadilika siku hizi
 
Hivyo vihoteli vya mama ntilie visivyo sajiliwa utalishwa sumu.

Hata bongo hapa ukitaka kulishwa vibudu nenda Vingunguti.
 
Hotel ya erland pale karibu na kwa baba stili saizi pana chuo cha teku
 

Hotel ipo Makunguru, Isanga? Hotel gani hiyo? Huko ulijitakia mwenyewe

Mbeya kuna sehemu wanakupa viazi, mchele, ndizi bure ukikataa wankuroga kwa kukataa chakula ndo wakuwekee amira kwenye wali!
 
Mbeya milima ipo karibu tu mjini. Ikipendeza kungekuwa na Trekkers& hikers club. Siku moja nilipanda ile milima ipo kule Swaya. Juu kule kuzuri sana. Kuna bonge la msitu.
Mwezi wa nane mwaka huu, nimeambiwa kuna Redio pale Mbeya inaitwa Mbeya Highlands wanapanga kupanda Mlima Rungwe.
Nitajitahidi kuwepo.
 
Hotel ipo Makunguru, Isanga? Hotel gani hiyo? Huko ulijitakia mwenyewe

Mbeya kuna sehemu wanakupa viazi, mchele, ndizi bure ukikataa wankuroga kwa kukataa chakula ndo wakuwekee amira kwenye wali!
Ha ha ha!
 
Mbeya kuna sehemu wanakupa viazi, mchele, ndizi bure ukikataa wankuroga kwa kukataa chakula ndo wakuwekee amira kwenye wali!

Duh! inabidi tuje tuishi huko, inaelekea vyakula ni bwelele.
 
40k zipo tena utaenjoy sana, karibu mkuu. Huduma zote utapata wewe tu
Asante sana Mkuu nitajie majina ( jina) kama utojali, ili nikifika nichukue boda boda namtajia jina anipeleke
 
Kuyanga ishinyiha....mwakata bhuli

Ughonile nkamu ......

Mwaghona......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…