Asante ndugu, kuna mipango ya bima mingine ambayo ya juu zaidi unaweza kutumia hadi milioni 180 kwa mwakahongereni kwa huduma nzuri.. japo hizo limit zinabana sana
Una uhakika na unachokiongea?,usiweke siasa kwenye maisha ya watu, fuatilia mambo kabla ya kuongea ndugu.NHIF wamekuja na bima mpya ya mwananchi kwa famikia watu 6 sh 125000.
Tatizo bima zenu unaenda kutibiwa unaambiwa pesa ya kumuona daktari imeeisha au pesa za dawa zimeisha.
Halafu kuamisha za in patient hairuhusiwi na hapo una miezi 6 tuu ya matibabu.Utapeli mtupu.Kuweni kama NHIF hakuna kikomo cha huduma ukomo ni mwaka wa matibabu ukiisha
makonda ameiongelea kuhusu bima hiyo wiki jana.Una uhakika na unachokiongea?,usiweke siasa kwenye maisha ya watu, fuatilia mambo kabla ya kuongea ndugu.
Subiria watu wa NHIF waongee ndo na wewe uongee usisikie kwa wanasiasa. Kwa upande wetu ni hivyo ila una uhuru wa kuchagua pia ukipenda kwetu karibu.
Subiria watu wa NHIF waongee ndo na wewe uongee usisikie kwa wanasiasa
Tunakukaribisha nduguwalikuwepo pia watu wa nhif, hii ni plan ijulikanayo kama community healthy insurance (chf).
nadhani jamaa aliizungumzia hii si kwa maana ya kuipinga bima yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakukaribisha ndugu
Iko kwenye mpango au imeshafika? Nijuavyo hata ile ya TZS 76800 kwa mtu mmoja imefutwa ijekuwa TZS 125000 kwa watu 6?NHIF wamekuja na bima mpya ya mwananchi kwa famikia watu 6 sh 125000.
Tatizo bima zenu unaenda kutibiwa unaambiwa pesa ya kumuona daktari imeeisha au pesa za dawa zimeisha.
Halafu kuamisha za in patient hairuhusiwi na hapo una miezi 6 tuu ya matibabu.Utapeli mtupu.Kuweni kama NHIF hakuna kikomo cha huduma ukomo ni mwaka wa matibabu ukiisha
Mimi ni staff wa tbl sina hamu na hawa watu wanajiita resolution.
Ndugu zangu nawapa tahadhari.
Hawa watu ni sumu.
Kidogo nipoteze mama na mtoto kisa hawa watu.
Nashukuru mungu wamepigwa chini na kampuni baada ya wafanyakazi wote nchini kulia kwa kunusurika kufa kwa huduma zao mbovu.
Hapa naongea ukweli sio unafiki wala chuki binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app[/
Du nyie TBL nao mmezidi nasikia mliwapa hasara wakawapandishia bei mkakimbia acha kudanganya watuMimi ni staff wa tbl sina hamu na hawa watu wanajiita resolution.
Ndugu zangu nawapa tahadhari.
Hawa watu ni sumu.
Kidogo nipoteze mama na mtoto kisa hawa watu.
Nashukuru mungu wamepigwa chini na kampuni baada ya wafanyakazi wote nchini kulia kwa kunusurika kufa kwa huduma zao mbovu.
Hapa naongea ukweli sio unafiki wala chuki binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni staff wa tbl sina hamu na hawa watu wanajiita resolution.
Ndugu zangu nawapa tahadhari.
Hawa watu ni sumu.
Kidogo nipoteze mama na mtoto kisa hawa watu.
Nashukuru mungu wamepigwa chini na kampuni baada ya wafanyakazi wote nchini kulia kwa kunusurika kufa kwa huduma zao mbovu.
Hapa naongea ukweli sio unafiki wala chuki binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi bei mmeziokota wapiHAKIKA PLAN
Hakika plan ni mpango wa bima ya afya unaolenga hasa hasa watu wenye kipato cha kati,lakini mtu yeyote anaweza kujiunga.
Mpango huu umegawanyika katika makundi mawili.
a)Hakika 5M plan
-Ukomo wa matibabu ya kulazwa(Inpatient limit) Tshs.milioni 5 kwa mwaka
-gharama za ujauzito na kujifungua kwa wanawake 400,000/=(muda wa kusubiria miezi 10)
-huduma za gari la wagonjwa(ambulance)zinatolewa
-Gharama za ushauri kwa magonjwa ya kutwa(Outpatient limit) Tahs.500,000/= kwa mwaka
*Bei yake(Premium) inategemeana na umri
-Tshs 295,600/= umri wa miaka 34 kwenda chini
-Tshs 339,940/= umri wa miaka 35-39
-Tshs 489,940/= umri wa miaka 50-64
b)Hakia 10M plan
-Ukomo wa matibabu ya kulazwa Tshs.milioni 10 kwa mwaka
-gharama za ujauzito na kujifungua kwa wanawake 600,000/=(muda wa kusubiria miezi 10)

-Gharama za ushauri kwa magonjwa ya kutwa(Outpatient limit) Tshs.800,000/= kwa mwaka
*Bei yake(Premium) inategemeana na umri
-Tshs 399,343/= umri wa miaka 34 kwenda chini
-Tshs 459,244/= umri wa miaka 35-39
-Tshs 609,244/= umri wa miaka 50-64
*List ya hospitali kwa bima hii imeambatanishwa
*Kujiunga tunahitaji
-Picha mbili za passport size
-Kitambulisho kwa watu wazima
-Utajaza fomu ya kujiunga
Karibuni sana
Kwa maelezo Zaidi piga
+255757930069 (Whatsup)
Hii HAPANAHAKIKA PLAN

ndugu unaweza kueleza kidogo juu ya kadhia iliyokupata dhidi ya resolution?Mimi ni staff wa tbl sina hamu na hawa watu wanajiita resolution.