Ujue mpango wa bima ya afya uitwao HAKIKA PLAN,kutoka Resolution Insurance

Mbona hamna Rabininsia hospital namanga tegeta near kibo complex
 
ahsante nashukuru, sijaona plan kwa wenye umri wa 70 yrs + na regency medical centre haiko kwenye orodha ya hospital ambazo huduma zenu zinatolewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ndo unajiunga
ahsante nashukuru, sijaona plan kwa wenye umri wa 70 yrs + na regency medical centre haiko kwenye orodha ya hospital ambazo huduma zenu zinatolewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunachukua watu wenye umri wa miaka 64 kwenda chini ndo utaratibu wetu zaidi ya hapo labda awe anaongeza mkataba. Regency wanaenda watu walochukua bima kubwa(Value plan)
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…