Kwa Hali niliyo nayo naomba niugue huu ugonjwa niwe najiona nimekua Mo au bakhresaNi Ugonjwa wa akili ambapo mtu anaiga kuwa ana maisha mazuri au ana mali wakati kiuhalisia hana.. unajulikana kama Delusion of Grandeur.
Delusion of Grandeur ni aina ya ugonjwa wa akili (kama vile schizophrenia au bipolar disorder) ambapo mtu anaamini kuwa ana sifa za Hali ya juu, mali nyingi, au hadhi ya juu ama cheo kuliko vile alivyo. Mtu anaweza kudai kuwa ana pesa nyingi, una uwezo wa kipekee, au hata kuwa ni mtu mashuhuri ilhali hali halisi hana chochote.
Mara nyingi hii ni dalili ya matatizo ya akili kama vile, Schizophrenia, au Bipolar Disorder. Ama Narcissistic Personality Disorder (lakini siyo lazima iwe delusional)
Matibabu
Inahitaji ushauri wa matabibu wa magonjwa ya akili (psychiatrists) na pengine matumizi ya dawa za kulevya (antipsychotics) na therapy.
Kama unakutana na mtu mwenye dalili kama hizi, ni muhimu kumsihi apate usaidizi wa kimatibabu.
Dalili kuu za Delusion of Grandeur
Mawazo ya Ukuu na Kujisifu Kupita Kiasi, Mtu anaamini kuwa ana uwezo wa pekee, mali nyingi, au hadhi ya juu hata kama hana uthibitisho wowote. Mfano: Kudai kuwa ni tajiri, kiongozi wa kimataifa, au hata mungu/mtume.
Kukataa Ukweli na Kupinga Hoja za Wengine
Hata ukimthibitishia kuwa hana chochote, anaendelea kuamini uwongo wake kwa nguvu.
Anaweza kukasirika au kukataa kukubali.
Matendo ya Kujifurahisha bila Staha
Anaweza kutangaza mali/mafanikio yake ya uwongo kwa watu bila aibu.
Mfano: Kununua vitu ghali kwa madeni ili kuonesha "utajiri" wake.
Kuwa na Msimamo wa Juu Sana kwa Wengine
Anawadharau wengine na kujiona ni bora zaidi.
Anaweza kudai kuwa ana uhusiano na watu mashuhuri au kuwa na uwezo wa kimiujiza.
Kubadilika Ghafla kwa Tabia
Anaweza kuwa na mawazo ya haraka-haraka bila mpangilio.
Anaweza kutumia pesa zote kwa ujinga kwa kudai atapata zaidi.
Tiba
Inahitaji:
Dawa za kulevya (antipsychotics) kama vile Risperidone, Olanzapine.
Therapy ya kisaikolojia (k.m. CBT - Cognitive Behavioral Therapy).
Msaada wa familia na jamii
Kama unamjua mtu mwenye dalili hizi, msaada wa kimatibabu ni muhimu kabla hali yake haijawa mbaya zaidi.
NB: JF wapo wengi.
Una hoja nzuri mkuu..ni kweli kuna msemo unaosema "what you think is what you become" (unachofikiria ndivyo unavyokuwa), ambalo linaungwa mkono na mafundisho mengi ya self-development, ushauri wa kifedha (manifestation), na hata baadhi ya mafunzo ya kiroho..Mbona hoja inapingana na baadhi ya mafundisho? Hususan kwenye baadhi ya maandiko mengi ya Self Development.
Baadhi wanasema "what you think is what you become" conveys an idea that many people find meaningful. It suggests that our thoughts, beliefs, and mindset can shape our actions and ultimately define who we are. "You become what you think" or "As you think, so you become," which are often attributed to various philosophers, including Buddha and more modern thinkers.
Katika ku force kubadilisha baadhi ya bad habit kuwa na good habit unaweza kutumia huo huo ugonjwa ukafanikiwa, mfano nilianza kudanganya watu nimeacha pombe na hatimaye ikanibidi niache, nilijitapa nafanyaga mazoezi kila siku asubuhi, mwisho nikalazimika kuamka saa 11 kila siku na kufanya jogging ambayo sasa imekuwa habit kwangu. So nadhani kuna faida nyingi pia kutumia sifa za huo ugonjwa. Nipo tayari kukosolewa...Una hoja nzuri mkuu..ni kweli kuna msemo unaosema "what you think is what you become" (unachofikiria ndivyo unavyokuwa), ambalo linaungwa mkono na mafundisho mengi ya self-development, ushauri wa kifedha (manifestation), na hata baadhi ya mafunzo ya kiroho..
Lakini kuna tofauti kati ya Kujenga mawazo chanya ama Positive Affirmations na Growth Mindset together with ugonjwa wa akili wa "Delusion of Grandeur"
"What You Think is What You Become" self-Development Perspective lengo lake ni kuwa na mtazamo chanya na kujifunza kuamini uwezo wako.
Tuchukulie Mfano, kama unajifunza kuwa mjasiriamali mzuri hii inaweza kukusukuma kufanya hatua za kweli kama kujifunza, kuwekeza, n.k, haihusiani na kusema uwongo bali na kujenga uwezo wako halisi.
"Delusion of Grandeur" – Psychological Disorder lengo lake ni kujifurahisha kwa mawazo ya uwongo bila kuchukua hatua, tuchukulie mfano
Unajiita "Mimi ni bilionea!" lakini huna hata shilingi, hufanyi kazi, na unaishi kwa msaada wa wengine. Hakuna reality check, unaishi kwenye dunia ya kubuni.
Hoja zinapingana kwa sababu
Self-development inahusu kubadilika kwa mtu kwa kufanya kazi.
Delusion of Grandeur/bipolar ni ugonjwa wa akili unaofanya mtu aishi kwenye uwongo bila mabadiliko halisi.
Kama Mimi nafikiria "nitakuwa tajiri" na kuanza kufanya biashara/kujifunza mambo mapya hii ni self-development. Kama ninadai "tayari ni tajiri" huku nikiwa na madeni na bila kufanya chochote hii tayari ni delusion (ugonjwa wa akili).
Mawazo peke yake hayatoshi, matendo ndio yanabadilisha mtu. Ukweli na uwongo ni long shadow, self-development inahitaji effort halisi, siyo perepeche
Nomadix
Ni kwasababu anaamini atarudi akiwa more strong than before, Na nina imani atarudi upya, hatothubutu kufanya tena makosa.80% ya wagonjwa hawa wapo JF, humu nilisha wahi kusema na leo nasema tena
kuna mtu tunafahamiana vzr sana ila huwa namwona kwenye mabandiko anavyo jisifia ili hali huo uwezo hana kwa sasa
kweli zaman alikuwa na mzigo wa kutosha akalia bata zanzibar na Arusha ameishiwa hata nyumba yake iliyo baki aliiuza kisiri siri mwaka jana
ila bado anaishi kwenye ndoto za zamani.
mimi sio muumba mkuu ila kwa upumbavu wake hawezi kurudi na hili bandiko atalionaNi kwasababu anaamini atarudi akiwa more strong than before, Na nina imani atarudi upya, hatothubutu kufanya tena makosa.
GoodloveBasi wengi wanaugua hii bipolar.
Nakubaliana na wewe, Unatoa mfano wa kutumia "self-deception" (kujidanganya) kama silaha ya kubadilisha tabia, na hii inaweza kuwa na faida halisi ya kisaikolojia.Katika ku force kubadilisha baadhi ya bad habit kuwa na good habit unaweza kutumia huo huo ugonjwa ukafanikiwa, mfano nilianza kudanganya watu nimeacha pombe na hatimaye ikanibidi niache, nilijitapa nafanyaga mazoezi kila siku asubuhi, mwisho nikalazimika kuamka saa 11 kila siku na kufanya jogging ambayo sasa imekuwa habit kwangu. So nadhani kuna faida nyingi pia kutumia sifa za huo ugonjwa. Nipo tayari kukosolewa...
Asante sana mkuu kwa somo zuri. Ubarikiwe.Nakubaliana na wewe, Unatoa mfano wa kutumia "self-deception" (kujidanganya) kama silaha ya kubadilisha tabia, na hii inaweza kuwa na faida halisi ya kisaikolojia.
"Fake It Till You Make It" inaweza Kufanya Kaz, wanasayasi hawa behavioral psychologists waligundua kuwa mtu anaweza "kujidanganya" kwa muda mfupi hadi akawa anafanya jambo kua kweli.
Tuchukulie Mfano wako, ulidanganya kuwa umeacha pombe, kwa kuendelea kusema hivyo, ulijipanga kihisia na kijamii na kuwa mwenye nidhamu. Ulijifanya unafanya mazoez hatimaye ukawa unaamka saa 11 bila shida. Hii sio "Delusion of Grandeur ama bipolar disorder bali ni "Behavioral Conditioning" (kujifunza tabia kwa kujizoeza).
Kuna tofauti kati Ya Kujidanganya Kwa Faida (Healthy Self-Deception) na Delusion of Grandeur (Ugonjwa wa Akili)...
Kwahiyo aaa watanzania shikamoo inamaana kwahiyo akaa aaaNi Ugonjwa wa akili ambapo mtu anaiga kuwa ana maisha mazuri au ana mali wakati kiuhalisia hana.. unajulikana kama Delusion of Grandeur.
Delusion of Grandeur ni aina ya ugonjwa wa akili (kama vile schizophrenia au bipolar disorder) ambapo mtu anaamini kuwa ana sifa za Hali ya juu, mali nyingi, au hadhi ya juu ama cheo kuliko vile alivyo. Mtu anaweza kudai kuwa ana pesa nyingi, una uwezo wa kipekee, au hata kuwa ni mtu mashuhuri ilhali hali halisi hana chochote.
Mara nyingi hii ni dalili ya matatizo ya akili kama vile, Schizophrenia, au Bipolar Disorder. Ama Narcissistic Personality Disorder (lakini siyo lazima iwe delusional)
Matibabu
Inahitaji ushauri wa matabibu wa magonjwa ya akili (psychiatrists) na pengine matumizi ya dawa za kulevya (antipsychotics) na therapy.
Kama unakutana na mtu mwenye dalili kama hizi, ni muhimu kumsihi apate usaidizi wa kimatibabu.
Dalili kuu za Delusion of Grandeur
Mawazo ya Ukuu na Kujisifu Kupita Kiasi, Mtu anaamini kuwa ana uwezo wa pekee, mali nyingi, au hadhi ya juu hata kama hana uthibitisho wowote. Mfano: Kudai kuwa ni tajiri, kiongozi wa kimataifa, au hata mungu/mtume.
Kukataa Ukweli na Kupinga Hoja za Wengine
Hata ukimthibitishia kuwa hana chochote, anaendelea kuamini uwongo wake kwa nguvu.
Anaweza kukasirika au kukataa kukubali.
Matendo ya Kujifurahisha bila Staha
Anaweza kutangaza mali/mafanikio yake ya uwongo kwa watu bila aibu.
Mfano: Kununua vitu ghali kwa madeni ili kuonesha "utajiri" wake.
Kuwa na Msimamo wa Juu Sana kwa Wengine
Anawadharau wengine na kujiona ni bora zaidi.
Anaweza kudai kuwa ana uhusiano na watu mashuhuri au kuwa na uwezo wa kimiujiza.
Kubadilika Ghafla kwa Tabia
Anaweza kuwa na mawazo ya haraka-haraka bila mpangilio.
Anaweza kutumia pesa zote kwa ujinga kwa kudai atapata zaidi.
Tiba
Inahitaji:
Dawa za kulevya (antipsychotics) kama vile Risperidone, Olanzapine.
Therapy ya kisaikolojia (k.m. CBT - Cognitive Behavioral Therapy).
Msaada wa familia na jamii
Kama unamjua mtu mwenye dalili hizi, msaada wa kimatibabu ni muhimu kabla hali yake haijawa mbaya zaidi.
NB: JF wapo wengi.
Tena mmoja ndio weweGoodlove